Ukimwacha unafurahia ila akikuacha unatulalamikia

issa ramadhani

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
1,319
255
Ulivyomuacha ulikuja kwa kufurahia ooh nimempiga chini, eti hana ishu yule. Leo umeachwa mwanzo mwisho unatulilia,ooh jamani anaondoka mbona sijamfanyia kibaya. Hukumbi ulivyomuacha yule mwingne? Tena ndio ukome, ulijua madhambi yanalipizwa wapi?, kawalilie nduguzo.
 
Zamani dalili ya ukichaa ilikuwa kuongea peke yako njiani,now days ukichaaa dalili yake ni kuchat peke yako mitandaoni...kweli technolojia inakuwa,yan kuna vichaa hadi wa KIDIGITALI??
 
Back
Top Bottom