Maeneo gani ukoYaaani nimecheka mpaka nimeona nifanye kushare na ndugu zangu wa umu
Fikiria nimeenda kwenye kabar fulani cha uswazi sasa mimi ni aina ya wale watu nikiendaga sehemu nakuwaga sina shobo na naona ni kama uvumilivu umemshinda anakasema kwa hiyo x leo umepata bwana mpya au siyo ndo maana kila nikikuongelesha unaninyamazisha halafu kila napokuonesha ishara wala huitikii
Maeneo gani uko?Poa wanangu nishapiga viwili vya kwanza apa nimerudi jf kuperuzi uku nikitulia nasubiri mnyama aamuke nikiwinde cha tatu mzee wangu