Ukijifanya unakiburi tunakuacha tu

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Vikongwe mtu na mkewe waligoma kulipwa fidia kupisha ujenzi wa barabara...





Wakazima fegi wenyewe....maana nyumba katikati ya road halafu semi zinapita na 180...lazma ukae


 
Magufuli ameshatangaza hii kwa wakazi wa kigogo kwenda jangwani
 
Labda sio mradi wa serikali
Mradi wa serikali...vibibi viligoma huko china ikabidi barabara iwaache katikati ila badae si umecheki wakazima fegi wenyewe
 
Dunia inaambo kwa kweli, hapo dukani walikuwa wanaendaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…