Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Ngoja nikauze matikiti nipate ela........ila na wewe uwe mzuri basi ili uweze kushawishi
 
Sisi wenye IST tunacoment wapi?
achana nao kila mtu ana maisha yake inawezekana wewe unajua unakokwenda yeye hakumbuki alikotoka na hajui atakapoishia achilia mbali nani ananunua mafuta.
 
Mambo ya kutukaniana mama yametoka wapi ..wakuu naomba tuwe na staha kidogo ..sidhani kama .wanahusika na hizi mada za jf ..over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…