Ukiitwa mwanaume tafuta pesa

Ni kweli kabisa imeeandikwa ni ngumu sana kwa tajiri kwenda mbinguni, ni heri ngamia apitete kwenye tundu la sindano

Kama unampango na Mungu pesa hazikuhusu mkuu
Waaaat
 
Jf kwanini msiweke kipengere cha CV wakati mtu anajiunga ili mkishajua huyu ni walewauzaji mumuweke mahala panapo stahili.
Sasa wakianza kudeal na cv za wanaojiunga unadhani wewe utapita???? Kiswahili kinakupiga chenga......

Mwache mtoa mada afurahishe jukwaa leo toka asubuhi sijacheka, ila kupitia uzi huu nimecheka mnoooo
 
Kweli tutafute pesa, lakini hata hivyo wewe unaonekana una njaa kali. Kwa mwanamke anayejitambua na mwenye unafuu wa kimaisha, linapokuja suala la mapenzi huwa anatafuta ladha yake kwenda sehemu sahihi ambayo atapata kulidhishwa.
 
Huyo atakuwa mwanaume wa Dar 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…