DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,726
- 81,768
Kama wewe ni kijana ...Jaribu kuwa makin ...maana unaweza kuishi mjini kama hapa dar jinsi palivyo unakuta mzee wa miaka 60+ anatembeza sambusa kiukweli ...inatia uchungu sana .
wewe kama nikijana usisubiri kuaibika Jaribu kuwekeza mda wako sehemu sahii sio unaishi dar miaka 30 alafu unapanga chumba kimoja uswahilin ....huku ukiwa unakula mlo mmoja ..wakati uwo kwenu kijijin umeacha Shamba ...lako ..kubwa ambalo lingeweza kukulisha miaka yako yote.