instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,837
- 16,298
Nimekuwa nikitafakari kuhusu kauli za Rais alizotoa mjini bukoba .kusema ukweli zimeniuma sana na kujiona mnyonge mno Mimi kama muhanga Wa tetemeko.jirani yangu maarufu kama mama kokugonza hapa mtaa Wa bunkago amepoteza watoto wake wote kokugonza na Allen kato .sasa hana mtoto yoyote maskini halafu unamwambia jitetemeshe mwenyewe na utakufaa mwaafa sijui wanabukoba tulimtendea nini magufuli na serikali yake mpaka nasikia watu wanausisha na ushirikina uenda ametoa kafara yake baada ya kuwa Rais maana MTU mwenye hulka ya binadamu utaumia tu hata kama MTU kakukosea kivipi hii.nawakumbusha kidogo nyumba zilivyo mjini bukoba ambapo mpaka sasa watu wanaishi kwenye matundubali.halafu wana serikali waliopigia kura iwaongoze na jee nini maana ya serikali