Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
Sasa ni kwa nini ulifanya hicho kipimo wakati mpenzi wako yuko mbali si mngeshauriana kabla na yeye angetulia bila ngono kwa muda wa wiki moja ili sperm zake ziwe nyingi..inashauriwa ukipima HSG ile ukipona tu yale maumivu ufanye ngono ili mimba iingie,,sasa mim mpenzi alikuwa mbali kiasi kwamba nilipofanyiwa nilikaa tu,,mpaka leo sijawah fanikiwa,,
Majibu ya HSG yalisema una tatizo Gani??.... maana HSG itaangalia Uterus Na Fallopian tubes itaangalia kama imevimba kama imeziba au shape ya uterus na vingine ambavyo vinakufanya Fertelization is fanyikee so nataka kujua Majibu ya Kipimo yalisemaje?Kwa wanawake/wadada mliowahi kufanya hiki kipimo cha HSG je mlifanikiwa kupata ujauzito, je kuna njia ya kupima tofauti na kipimo hiki maana kinauma sana usiku siku hiyo sikulala mpaka niliumwa homa na baada ya siku mbili nikaingia period.
Inashauriwa ukipima HSG ile ukipona tu yale maumivu ufanye ngono ili mimba iingie, sasa mimi mpenzi alikuwa mbali kiasi kwamba nilipofanyiwa nilikaa tu, mpaka leo sijawahi fanikiwa, tujuzane na kushauriana hapa ni hospitali gani nzuri, au dokta gani mzuri wa wanawake tu, nadhani hii pia itakuwa inasaidia na wengine maana uzazi kwa wengine ni mgumu sana.
Kilichofanya nikafanye hiki kipimo nilikuwa naumwa sana tumbo wakati wa hedhi, kuumwa kiuno na mbavu, lakini nilivyopima niligundulika mirija ya uzazi ina shida imevimba na ikapelekea nikawa sipati siku zangu, nilipofanyiwa kipimo hicho, hayo maumivu yaliisha kabisa maana nilichomwa sindano na dawa nikapewa, tatizo ni naona maumivu ya kuumwa wakati wa hedhi yanarudi tena yaani kiuno kinauma kama sio changu jamani.
Hebu tupeane ushauri najua wengi pia hili tatizo mnalo, najua pia kuna wataalamu humu watasaidia kutoa ushauri mzuri ili siku zijazo tulete mrejesho humu, chochote unachojua kiweke hapa maana haya maumivu ya hedhi sio mazuri kabisa pia tuelekezane sehemu nzuri zenye tiba nafuu sio kupimwa tu laki 2, dawa laki 4.
Karibuni.
ONYO: Waharibu uzi hapa hamtakiwi kabisa, usilete mada tofauti na hii.
Nilisitisha kuona siku zangu zikawa navuka mwezi mmoja ndio naingia ,,kwenda kupima kwenye kioo ndio wakasema nipime hsg waone vyema ,ndio kukuta upande mmoja uligoma dawa kuingia mpaka waliporudia ndio dawa ikaingia ,,aisee nilikuwa naisikia kabisa inavyoingia ile dawa ,,,walikuta mirija yangu imevimba hasa wa upande wa kulia na nilikuwa napata maumivu ya upande wa tumbo,kizazi kilikuwa hakina shida ni mirija,,Majibu ya HSG yalisema una tatizo Gani??.... maana HSG itaangalia Uterus Na Fallopian tubes itaangalia kama imevimba kama imeziba au shape ya uterus na vingine ambavyo vinakufanya Fertelization is fanyikee so nataka kujua Majibu ya Kipimo yalisemaje?
Ila baada ya kipimo huwa tunamwambia mgonjwa atajisikia severe belly pain pia heavy bleeding na Vaginal bleeding
Ila tuanzie kwenye Majibu
Walisema kulikuwa na viuvimbe vidonge upande wa kulia ndio nikawa nachomwa sindano dawa ili vipote,,,baadae nilienda kupima nikaambiwa nishapona etiDalili Ulizo taja hapo ni kama mtu ana MYOMA (FIBROIDS) na hii inawashika watu wengi sanaaa (wakike) nakushauri Fanya Ultrasound ndio itakayo kwambia shida ni nini then kama itakuwa Ni myoma watakupeleka CT scan hapo ndio itaamua kama unaweza kutibiwa au lah
Mirija kuziba maranyingi ni huwa inasababishwa na infections kupitia sexual diseases....au infections nyingine yoyote ile katika uterus na fallopian tube.....pia kuna sababu zingine
Duuu pole ushauri wangu nenda kafanye Ultrasound!Walisema kulikuwa na viuvimbe vidonge upande wa kulia ndio nikawa nachomwa sindano dawa ili vipote,,,baadae nilienda kupima nikaambiwa nishapona eti
Nilisitisha kuona siku zangu zikawa navuka mwezi mmoja ndio naingia ,,kwenda kupima kwenye kioo ndio wakasema nipime hsg waone vyema ,ndio kukuta upande mmoja uligoma dawa kuingia mpaka waliporudia ndio dawa ikaingia ,,aisee nilikuwa naisikia kabisa inavyoingia ile dawa ,,,walikuta mirija yangu imevimba hasa wa upande wa kulia na nilikuwa napata maumivu ya upande wa tumbo,kizazi kilikuwa hakina shida ni mirija,,
Walivyonipa dawa,,nikawa naingia siku zangu bila kuumwa kiuno wala tumbo,,,sasa naona kama hali inajirudia tena baada ya mwaka hali naona imerudi nikiingia mp aisee mpaka nachemka na kiuno kinauma vibaya sasa naogopa isije kuwa ugumba lo