Mkuu sio mimi ni wao walikuwa wanakuja na case za utajiri na mapenziKwahiyo ulikuwa una deal na kesi za mapenzi?
Vp kesi za jini mahaba?Mkuu sio mimi ni wao walikuwa wanakuja na case za utajiri na mapenzi
Kwenye hicho kilinge chako wateja wako wakubwa walikuwa kina nani.....najuwa mastaa wa bongo movie na wabunge hawakukosa kuja kwako.Yapata mwaka mmoja tangu niweke uzi wangu leo nakuja na huu uzi aisee tanzania hii (bongo) ukitaka kupiga hela za bure unapiga vizuri tu jamii kubwa za watanzania wanateswa sana na umaskini na mapenzi
Niliwahi kufungua kilinge cha uganga wa kienyeji aisee nilipiga sana chenji wakuu
Aisee asikuambie mtu wakuu watu wanateswa sana na mapenzi na umaskini
Nyumba hii hapaumejenga nyumba ngapi mpka dk hii mshua
Mkuu umejuaje na hiki kipindi cha uchaguzi nataka nipige hela sana mkuu aisee kama nilimponesha mtu stroke aiseeKwenye hicho kilinge chako wateja wako wakubwa walikuwa kina nani.....najuwa mastaa wa bongo movie na wabunge hawakukosa kuja kwako.
Yapata mwaka mmoja tangu niweke uzi wangu leo nakuja na huu uzi aisee tanzania hii (bongo) ukitaka kupiga hela za bure unapiga vizuri tu jamii kubwa za watanzania wanateswa sana na umaskini na mapenzi
Niliwahi kufungua kilinge cha uganga wa kienyeji aisee nilipiga sana chenji wakuu
Aisee asikuambie mtu wakuu watu wanateswa sana na mapenzi na umas
Unatushaulije mkuuYapata mwaka mmoja tangu niweke uzi wangu leo nakuja na huu uzi aisee tanzania hii (bongo) ukitaka kupiga hela za bure unapiga vizuri tu jamii kubwa za watanzania wanateswa sana na umaskini na mapenzi
Niliwahi kufungua kilinge cha uganga wa kienyeji aisee nilipiga sana chenji wakuu
Aisee asikuambie mtu wakuu watu wanateswa sana na mapenzi na umaskini
Dah, inabidi uanze na kufanya mazoezi ya kutolala usiku maana kazi za kushughulikia kina Manara, Mwijaku, Baba Levo, Shilole (wabunge watarajiwa) zinafanyika usiku wa manane miwa uchi. Hivi unaweza kutupigia picha zao wakiwa uchi wanaroga?Mkuu umejuaje na hiki kipindi cha uchaguzi nataka nipige hela sana mkuu aisee kama nilimponesha mtu stroke aisee