Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.
Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.
Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.
Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
Kumbe una kiswahili kitamu hivi?Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.
Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.
Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.
Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
Umoja wa maninja unakutunuku nyotaNdio maana ni vyema kuwa na miti mingi ya matunda.
Si mti mmoja maana wengine mti huo wengine wanaweza kuukata kwa matumizi ya kuni kumbe kwako ulikuwa unategemea matunda na kivuli.
Hahahahah laiti ungejua ugumu wa kupambana na genye ukiwa kama dume ndio ungeelewa!Raha ya kuachwa ni kulia ugaregare.
Halafu unaamka unajikung'uta vumbi unapenda tena.
Unaumizwa Tena ila fresh tu. Unapambana kiume.
Backup ni umama na uoga wa maisha. Lol
😂 midadi yetu unaweza kufa huku umekakamaa kisa minyang'ulaHahahahah laiti ungejua ugumu wa kupambana na genye ukiwa kama dume ndio ungeelewa!
Kwenu nyie si mnakaaga hata miaka mitano kama hujapata mtu wa kukutekenya mbavuni na kutomasa chuchu unadunda tu! Ashki zenu nyie ni mpaka ushikwe shikwe ila kwa sie madume macho tu yanaweza kukuponza 😂😂😂! Sometime unaamka tu na kiraruraru mashine haitaki kushuka inataka haki yake sasa kama huna namna ndio utaskia jamaa kabaka kuku, mara mbuzi au kamdandia chizi!
Watoto wa kike hawaelewi ndio maana kwao ni rahisi kusema “sijiskii”,“nimechoka” au tutafanya kesho!😂 midadi yetu unaweza kufa huku umekakamaa kisa minyang'ula
Kuachwa ni kuachwa tu hata upate mwingine ila kama uliwekeza moyo kwa aliyekuacha scale ya maumivu inakua juu tu
Halafu kumbe kuachwa ni aibu???? Inategemea bn mmeachana kwasababu gani
Unapenda kwa hesabu, sasa wewe unaingia mzima mzima umeambiwa na nani moyo una helmeti?
Ndio maana nkakuambia aibu ya kuachwa huja kulingana na sababu ya kuachika uliyokutana nayo!Sababu sio issue maana unaweza hata kuachwa kwasababu yanga kakimbia uwanjani
Kwenu nyie si mnakaaga hata miaka mitano kama hujapata mtu wa kukutekenya mbavuni na kutomasa chuchu unadunda tu!
Yaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu!hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea!
Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha yakikufika unamtoa kutoka kwenye friend zone hadi bad zone!
Usije ukasema hukuambiwa
Unachosema ni sahihi kiongozi Mimi mweyewe nina mpenzi wangu kuna wakati nilijiona penzi langu limegemea upande mmoja yaani mimi ndo ninajitoa zaidi ya mwenzangu baada ya kuteseka na Hali hii muda mrefuYaani ukiachwa halafu hauna backup utataabika sana unajua ni ngumu sana kupata demu kama huna demu!hakikisha unakuwa na backup (sio mchepuko)ili siku ukisikia nyuma geuga unageuka na backup yako kazi inaendelea!
Hakikisha unamuweka backup kwenye friend zone siku yale yajayo yanafurahisha yakikufika unamtoa kutoka kwenye friend zone hadi bad zone!
Usije ukasema hukuambiwa