Ukiachana na kazi unayofanya ipi ni kazi utakayoienjoy endapo ukipewa nafasi au ukiachishwa kazi

kadefeghe

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
446
629
Oh wadauu hoyeee? Wazeee wa simbaa kamili. Wenzang wa simba nadhan kuna vitu inabdi tuachanee navyo kubishana na kulee? Mfanow kujaza uwanja. Hii simbaa hata uwanja uwe na capacity ya laki 3 tutajazaa! Anyway, wadau hivi ni kazi ni kazi gani unatamani kufanya? Au ukipigwa chini utaifanya?

Mimi nimeajiriwaa ila natamani sana kuendesha malori... Ile presence ya kua peke ako makilometres na kutojichanganya na watu... Ndio vitu nazipendagaa sana... konyagi oyeeeeee.
 
Yaa, wewe kama Mimi tu. Actually huwa nawaadmire madereva wa magari makubwa. Najua sio kazi rahisi na inahitaji umakini lakini ile kusafiri tu na kuwa peke Yako inanipa uhuru. Kazi ninayofanya sasa inanifanya niwepo nyumbani Kila siku, nachoka na makerere ya nyumbani.
 
Oh wadauu hoyeee..?wazeee wa simbaa kamili.....wenzang wa simba nadhan Kuna vitu inabdi tuachanee navyo kubishana na kulee.......,.?mfanow kujaza uwanja..Hii simbaa hata uwanja uwe na capacity ya laki 3 tutajazaa!anyway. Wadau hivi ni kazin kaz gan unataman kufanya?au ukipigwa chini utaifanyaa?

Mm nmeajiriwaa ilaa natamani sana kuendesha malori...Ile presence ya kua peke Ako makilometres n kutojichanganya na watu.ndo vitu nazipendagaa sana...@konyagi oyeeeeee
Muhudumu wa mochwari aiseeee

Niliwah kwenda chukua mait pale muhimbili aloooooo siku hiyo kulikua na mait km buku hv zimezagaa pale chini,roho iliniuma sana kwa sabab ilikua inawezekana vizur tu kuziweka kwenye friji kwa zam ili kila mmoja adambue kibarid ili wasiharibike lkn kwa uzembe wa yule muhudumu alisababisha mambo yawe magumu ktk ile miili

Mungu ajaalie siku moja nipate nafas ya kuhudumu hata kwa kujitolea tu.
 
Oh wadauu hoyeee..?wazeee wa simbaa kamili.....wenzang wa simba nadhan Kuna vitu inabdi tuachanee navyo kubishana na kulee.......,.?mfanow kujaza uwanja..Hii simbaa hata uwanja uwe na capacity ya laki 3 tutajazaa!anyway. Wadau hivi ni kazin kaz gan unataman kufanya?au ukipigwa chini utaifanyaa?

Mm nmeajiriwaa ilaa natamani sana kuendesha malori...Ile presence ya kua peke Ako makilometres n kutojichanganya na watu.ndo vitu nazipendagaa sana...@konyagi oyeeeeee
Dalali yaani mtu kati
 
Back
Top Bottom