Hii issue ipo siriazi na hali ni mbaya sana huko chini kwenye hizo academy za kuibua vipaji na kwenye uwakala wa wachezaji,na wahusika wa huu uchafu ni watu wazima na wazito wenye nyadhifa zao huko TFF, Bodi ya Ligi, Wabunge,RCs na Mawaziri. Kama una mtoto wako uthithubutu kumpeleka kwenye Academy za ndani.