HAPA SIJAELEWA KABISAKatika soka letu Tanzania hasa bara ukiacha inshu ya upangaji matokeo kuna hili tatizo la USHOGA linakuja kwa kasi sana.
Soka letu limekua la hovyo sana ukiondoa rushwa, match fixing, upendeleo kuna janga la USHOGA. Wachezaji tunao wazuri ngazi za chini ila kikwazo ni kuja timu za Premier baadhi ya viongozi na "madalali" wanataka vijana watoe "tigo" ndiyo wapate timu, wengine ili ubaki kwenye timu lazima viongozi wa sehemu ya benchi la ufundi wakupelekee moto ndiyo ubaki kwenye timu.
Tunaelekea wapi? Halafu yule Kipa kinda wa Nyuma mwiko aliishia wapi?
Moderator, futeni huu uzi.Katika soka letu Tanzania hasa bara ukiacha inshu ya upangaji matokeo kuna hili tatizo la USHOGA linakuja kwa kasi sana.
Soka letu limekua la hovyo sana ukiondoa rushwa, match fixing, upendeleo kuna janga la USHOGA. Wachezaji tunao wazuri ngazi za chini ila kikwazo ni kuja timu za Premier baadhi ya viongozi na "madalali" wanataka vijana watoe "tigo" ndiyo wapate timu, wengine ili ubaki kwenye timu lazima viongozi wa sehemu ya benchi la ufundi wakupelekee moto ndiyo ubaki kwenye timu.
Tunaelekea wapi? Halafu yule Kipa kinda wa Nyuma mwiko aliishia wapi?
Acha mambo ya kisenge kuzalilisha wenzako ilmradi upate likes mtandaoni ina maana wewe hapo ulipo una survive sababu ya kuliwa jicho?Sasa mchezaji kama Nkane kinachomuweka yanga hata hakijulikani.