Ukerewe: Diwani wa CHADEMA ajiunga CCM

Ukerewe: Diwani wa CHADEMA ajiunga CCM

chilamanyika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
405
Reaction score
272
Aliyekuwa diwani wa kata ya Namilembe wilayani Ukerewe Mkoani Mwanza Innocent Joseph Lusato kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametangaza kujiudhuru na nafasi zake zote ndani ya chama hicho na kutangaza kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM.

Akitangaza maamuzi hayo Lusato ameeleza kuwa CHADEMA hakuna maendeleo zaidi ya malumbano huku akisisitiza hajanunuliwa.
 
Daaah! My classmate University huyo, ha ha ha ha ha, Innocent Joseph ameamua kuunga mkono juhudi.
 
Mara nyingi tunaamini wanasiasa wanaweza kutatua matatizo yetu lakini tunasahau ni haohao wanasiasa wanaleta MATATIZO, kwa mfano kwenye kampeni zake aliahidi ,huduma bora za elimu, afya, miundombinu nk kwa kuhama kwake kodi zetu inabidi zitumike kufanya uchaguzi badala kuendelea kuboresha huduma kwa wananchi
Usichoke kamanda...piga moyo konde!
 
Hawa wanajipambanua, jinsi wanavyoweza unga mkono kila kilicho na ushindani. They can't fight their course,
 
"if you can't win them,join them"!!!
Ipo siku mabadiliko yakatokea huko huko wanapohamia!!!
 
Back
Top Bottom