S shax5 Member Joined Aug 14, 2014 Posts 51 Reaction score 2 Dec 4, 2014 #1 Leo nilipokua nikiskiliza kipindi cha DW, spika wa bunge Uganda amewaambia wanaume wasioe wanawake waliokeketwa ikiwa kama njia yakuondoa ukeketaji. Je,itasaidia? Nipe maoni yako.
Leo nilipokua nikiskiliza kipindi cha DW, spika wa bunge Uganda amewaambia wanaume wasioe wanawake waliokeketwa ikiwa kama njia yakuondoa ukeketaji. Je,itasaidia? Nipe maoni yako.