Duniani kuna magonjwa mengi jamani, madaktari njooni huku mmsaidie dada yetu hata kwa PM maana hii nayo naona kali sana.
Pole Madame B najua utapata ufumbuzi wa tatizo lako hasa ukienda hospitali mapema, achana na vituko vya Mamndenyi havina uhusiano na tatizo lako. Sasa yeye anataka wenye madude makubwa wapate huduma wapi ili hari wanayo kwa mapenzi ya Mungu, na ni huyo Muumba amesema pia tupeana pasipo kunyimana.
matatizo yako yote yanakua yanahusisha uke wako,hivi huwa unatania au uko serious?Habari wanajamvi hili makini la JF DOCTOR.
Kwanza nawashukuru kwani lile tatizo nililowasilisha kwenu la "Kuumwa tumbo baada ya kufanya mapenzi" lilipona kabisa.
Hii kutokana na Michango, ushauri na hata baadhi yenu kunielekeza tiba.
Asanteni sana.
Ila leo nimekuja na tatizo lingine:- UKE KUFA GANZI MARA KWA MARA.
Tatizo hili hunikumba saa za Alfajiri.
Na wakati mwingine huambatana na kichomi kikali upande wa kulia usawa wa mbavu.
Nashindwa kuelewa hali hii ya kufa ganzi ni kwangu au hata kuna wenzangu wenye tatizo hilo.
Sikuwahi kutumia dawa, kwani sijui dawa yake.
Nashukuru sana endapo mtanisaidia.
Madame B.
Mmadenyi una mdomo mchafu sana wee mtu wewe, jana umeniharibia siku yangu kwenye thread yangu nikadhani unanichukia, nako huku naona unatoa Lugha za hovyo kiasi hiki, pfuuuuuuuuuuuuuMadame B,
pole sana;
unaona tatizo la kufanywa na mibaba yenye madude makubwa;
Pole lakini, ngoja aje mumeo MziziMkavu akupe dawa mwaya; pole sana.
Mmadenyi una mdomo mchafu sana wee mtu wewe, jana umeniharibia siku yangu kwenye thread yangu nikadhani unanichukia, nako huku naona unatoa Lugha za hovyo kiasi hiki, pfuuuuuuuuuuuuu
Bibie Madame B Pole sana kwa huo uke kufa Ganzi inatakikana mimi niwe karibu nawe ninaufanya masaji uke wako utapona haraka iwezekanavyo. Lakini nipo mbali na wewe Matatizo ya kufa Ganzi mwilini ni upungufu wa vitamini Mwilini ningelikushauri uende Hospitali kumuona Daktari akupime na kukupa dawa inshallah utapona au pia waweza kununuwa dawa inayoitwa Vitamin B 12 unakula kila siku kidonge 1 baada ya kwisha kula itakusaidia kuondowa hiyo Ganzi kwenye uke wako pole sana.Habari wanajamvi hili makini la JF DOCTOR.
Kwanza nawashukuru kwani lile tatizo nililowasilisha kwenu la "Kuumwa tumbo baada ya kufanya mapenzi" lilipona kabisa.
Hii kutokana na Michango, ushauri na hata baadhi yenu kunielekeza tiba.
Asanteni sana.
Ila leo nimekuja na tatizo lingine:- UKE KUFA GANZI MARA KWA MARA.
Tatizo hili hunikumba saa za Alfajiri.
Na wakati mwingine huambatana na kichomi kikali upande wa kulia usawa wa mbavu.
Nashindwa kuelewa hali hii ya kufa ganzi ni kwangu au hata kuna wenzangu wenye tatizo hilo.
Sikuwahi kutumia dawa, kwani sijui dawa yake.
Nashukuru sana endapo mtanisaidia.
Madame B.
Bibie Mamndenyi Mbona nimempa Talaka rejea bibie.@Madame B siku nyingi tu humu ndani ana wapenzi wasiopunguwa 3 anapenda vijana sana huyu Madame B bora niwe na wewe umetulia kuliko bibie Madame B tumebaki marafiki tu usijali bibie MamndenyiMadame B,
pole sana;
unaona tatizo la kufanywa na mibaba yenye madude makubwa;
Pole lakini, ngoja aje mumeo MziziMkavu akupe dawa mwaya; pole sana.