Mtazamo wangu ni Tofauti na na ndugu yangu wa SIMIYU, Sijui mawazo yake huwa yanawawakilisha wana SIMIYU au yeye mwenyewe binafsi, Kimsingi wakurugenzi pamoja na jeshi la polisi limechangia ushindi kwa upinzani, tofauti na miaka ya nyuma ambapo jeshi na wakurugenzi walikuwa linaamua linavyotaka,
Nasikitika kwa yaliyotokea Nzega kwa kijana aliepigwa na kitu chenye ncha kali mgongoni kikatokea tumboni, kijana anasafirishwa leo kuelekea kigoma