simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Kwenye hoja kama hizi uwezo wenu vijana wa Lumumba ni mdogo na upuuzi huu mnaoleta humu na ushabiki wa kipumbavu ndio umelifikisha taifa hapa leo. Inaonekana nyinyi ni wafaidika wa mifumo mibovu ambayo mmebaki nyinyi mnaishi vizuri wakati ndugu zenu wamebaki kuwaomba mkae na watoto wao au muwaombee vibarua huko mijini. Kumbe tulitakiwa tuzike tofauti za kisiasa tutengeneze katiba bora ambayo itakupa uhakika wa maisha bila kutegemea hela za kifasadi. Katiba hiyo itakupa wewe na watanzania wengine uhakika wa maisha wewe ni vizazi vyako bila kujali utakuwa hai ama la, chama chako kitakuwa madarakani ama la. Wewe umebaki na hoja za kitoto bila kujua kwamba huna kazi ya maana zaidi ya kukaa hapo ofisini ukiishia kupigania ubovu ambao hauna faida kwako na familia yako kwa muda mrefu.Ukawa ni wehu tu hawana cha maana hata kidogo kwao vurugu ndiyo cha msingi zaidi.
Hawakuzidi weweUkawa ni wehu tu hawana cha maana hata kidogo kwao vurugu ndiyo cha msingi zaidi.
Ukawa ni wehu tu hawana cha maana hata kidogo kwao vurugu ndiyo cha msingi zaidi.
jana Mwingulu anashtuka na kusema ati walikosea kuleta mapezi ya vyama kwenye mchakato wa katiba mapya ...................ingawa NADHANI ILIKUWA NI WOGA WA KUZOMEWA
Kwenye hoja kama hizi uwezo wenu vijana wa Lumumba ni mdogo na upuuzi huu mnaoleta humu na ushabiki wa kipumbavu ndio umelifikisha taifa hapa leo. Inaonekana nyinyi ni wafaidika wa mifumo mibovu ambayo mmebaki nyinyi mnaishi vizuri wakati ndugu zenu wamebaki kuwaomba mkae na watoto wao au muwaombee vibarua huko mijini. Kumbe tulitakiwa tuzike tofauti za kisiasa tutengeneze katiba bora ambayo itakupa uhakika wa maisha bila kutegemea hela za kifasadi. Katiba hiyo itakupa wewe na watanzania wengine uhakika wa maisha wewe ni vizazi vyako bila kujali utakuwa hai ama la, chama chako kitakuwa madarakani ama la. Wewe umebaki na hoja za kitoto bila kujua kwamba huna kazi ya maana zaidi ya kukaa hapo ofisini ukiishia kupigania ubovu ambao hauna faida kwako na familia yako kwa muda mrefu.