Jamani Wanajamvi hamjambo?
Nasikitika sana demu wangu kaniacha kisa mimi niko UKAWA, japo nimemwambia kura ya uraisi ntawapa CCM, ila Leo niko Jangwani, ila mjue demu wangu kashanitema, jamani UKAWA Nisaidieni ama nirudi CCM? Kuokoa ndoa yangu? Jamani niko Jangwani nashindwa kukaa kwa Amani.