Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.
Mkuu Usihangaike ana kithethe Mkuu hata mimi nimeangalia nikaona kumbe amebugi...."BAPHOON"Hilo neno lako mbona niinalikosa kwenye Kamusi ya Kiingereza? Neno ninalopata ni "buffoon (bəˈfuːn) n" Na maana zake ni hizi:
"1. a person who amuses others by ridiculous or odd behaviour, jokes, etc
2. a foolish person"
Nimechoka sana kwa upuuzi wa Makonda.
Clouds ni sawa na familia jinga ukiamua kupiga p.u mbu kuanzia baba mama watoto mashemeji mama mkwe baba mkwe housegirl houseboy unafanza tu.
Wewe njoo na hela tu unafanya kila kitu
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.
Acha ujinga wako wewe! Nchi hii ni ya Demokrasia kila mtu ana haki ya kuamini na kufuata anacho penda! Kama mnataka anzisheni radio UKAWA na TV UKAWA muwasifie akina Mbowe,Mbati,Limpumba na Maalim Seif kuanzia asubuhi hadi usku wa manane kwa kila siku
kila anayetumikishwa na ccm , atavuna alichopanda !
Alianza na ukawa wiki iliyopita leo kamaliza na umoja wa vijana bungeni!
Pia hajafanya mahojiano ila m/kiti wa umoja vijana bungeni alituita waandishi wote kutoa tamko la umoja huo!
Mbona siku nyingi tu watu wengi wanajua
Habari ya wakati huu wana jf?
Mtangazaji maarufu wa cloulds fm millard Ayo,anayefanya kipindi cha amplifaya j3-ijumaa kuanzia saa moja usiku leo katka kipindi chake ameonyesha kutumika na ccm dhahiri, amewapa air time kubwa uvccm Dodoma kupitia kwa msemaji wao paul makonda. Katika tamko lao, paul makonda amelekeza mashambulizi makali kwa UKAWA, hasa Tundu lisu na Prof. Lipumba.
Ninakushukuru kwa maelezo yako ila ningeomba nitoe wito kwa waandishi wa habari muwe mnawauliza hao wanaotoa (matamko/taarifa) maswali magumu ili kuepusha manunguniko ndani ya jamii kama haya.Msikubali tu kupewa taarifa na kuzitoa zilivyo.Sio mtu anawaambia tu Serikali tatu/mbili/nne hazifai ni lazima watoe sababu ya kwa nini hazifai au ni kwa nini zinafaa,wananchi wamechoka kudanganywa hivyo msipojiongeza mnaweza nasibishwa na kundi hasimu.
Mbona siku nyingi tu watu wengi wanajua
CCM wanao hadi waandishi ! Kazi ipo !