UKAWA Wanatumiwa Kuleta Machafuko

Mods tunahitaji jukwa la mataahira kusudi nyuzi za kitaahira zipelekwe huko.
 

Na wewe ndo umepoteza muda wako kuandika mambo ya Redio UHURU? Eti sh 1.7m ndo zilete vurugu wakati zile 200b za Escrow mlizokwapua hazijaleta vurugu! Stupidity at its highest level!
 
Inchi hii shida tupu! Wagonjwa wa akili wana zidi kuongezeka.... Bangi mbaya sana hii inanikumbusha jamaaa mmoja baada ya kukoleza bangi akawasha taa ya mafuta mchana jua linawaka akaanza kusema washikaji! washikaji ! washikaji mbona mnatembea bila taa wakati usiku wagiza nene hivi?
 
Hawa lazima tuwape kipigo kitakatifu uchaguzi ujao wanadhani bado tuko mwaka 47! Hizi dharau yatosha sasa!
 

Oman inataka kurudisha utawala wake visiwani, na wanaoshighulikia mambo hayo na wale wazanzibari waliotukimbia miaka ya 70s , Uholanzi ni uongozi wa shell na mashirika ya oil n gas
 
Jamani mnisaidie pengine mi macho yangu. Awamu ya kwanza wametoa sh 1,700,000......Uholanzi watoe mil moja na laki saba..........mbona kama vihela kiduchu sana.......huu uongo haukupangwa vizuri.
haa haa mkuu magamba yameshikwa pabaya!
 
hua sipendi sana mtu mzima tena kiongozi anapopata nafasi ya kuongea kwenye vyombo vya habari alafu anaropoka upuuzi usio na kichwa wala miguu. hii ni kuwadharau wananchi.
 


Mkuu hapo ni makosa ya kiuchapaji Sahihi ni Tsh.bilioni moja na million mia saba(1.7 Billion)
 
Jamani mnisaidie pengine mi macho yangu. Awamu ya kwanza wametoa sh 1,700,000......Uholanzi watoe mil moja na laki saba..........mbona kama vihela kiduchu sana.......huu uongo haukupangwa vizuri.

Mkuu SIFONGO

Hayo Ni makosa ya kiuchapaji SAHIHI ni Tsh.Bilioni moja na milioni mia saba(1.7Billion)
 
Hua sickilizi Uhuru redio wala kusoma gazeti maana kuna hadisi ambazo hata kichaa hawezi kuzungumza
 
The sad truth is that there are mediocre ccm members who truly believe that anyone who is opposed to them is a traitor, and deserves to have an encounter with Kamuhanda.

Kwa lugha ya miaka ya themanini, hawa wenzetu wana mawazo ya kukanyagwa.
 
Ccm wanachekesha!! Waliwahi kusema Cdm imeleta Al-shaabab! Kisha Cuf imeleta visu !! Leo wanauongo mpya wa fedha. Wao ndio wana serikali kwanini wasizizuie hizo fedha kama kweli ni haramu
 
ccm ndiyo shetani namba moja hapa Tanzania, UKAWA Mungu awabariki sana sana kwa kututetea Watanzania.
 
wewe ni devil worshiper na ccm ndiyo devil mwenyewe, ccm tumewachoka na hatuwataki, mna tengeneza katiba ya mashetani ambayo haina uwajibikaji wala maadili kila Mtanzania anawalaani.
 

ukawa nyambafu
 

Comedian @work
 

Hii Habari mbona haiingii akilini hata kidogo..Zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM kama ndio hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…