Badala ya kutangaza sera wana subiri za CCM kisha wana kopi na kupesti, CCM wako sema hiki . Kesho yake Ukawa wana modify ahadi hiyo hiyo, hawana Ilani, mgombea anasema vikaratasi vya kuandikiwa.
Badala ya kutangaza sera wana subiri za CCM kisha wana kopi na kupesti, CCM wako sema hiki . Kesho yake Ukawa wana modify ahadi hiyo hiyo, hawana Ilani, mgombea anasema vikaratasi vya kuandikiwa.
Na kuna wanachama nawajua wa CDM watakaopigia kura chama si mtu (EL)
Hamna jinsi...wafanyeje na wakisusa chama chao kitakufa kifo cha mende...
Kuna mdingi mmoja kadata kabisa...leo unamsikia sipigi kura...kesho napigia UKAWA si Magufuli...kesho yake hakuna tofauti kati ya EL na Magufuli...ni sheeder....Mara Slaa kanunuliwa....unamuuliza sh ngapi? anang'aa macho...
Raha sana kutokuwa na chama..,unaamua bila influence ya mahaba...