UKAWA wajijenge kupitia wananchi kutokuwa na taarifa ya mipango ya serikali bungeni

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,927
Wananchi hawajui serikali inapanga nini kuhusu maendeleo yao kwa kuwa hawajui waziri yupi wizara yake imempangia nini mtanzania kimaendeleo, njia pekee ya dhahabu kwa ukawa ni kuzunguka kwenye kanda na kusema lolote walilonalo
 
Wananchi gani wanaozungumziwa? Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametangaziwa 'vita' ya HAPA KAZI TU. Wanatakiwa muda wa kazi waupige vita umaskini kwa kuchapa kazi popote walipo. Wakati huohuo wabunge nao wanachapa kazi bungeni. Usiku baada ya kazi yaliyojiri bungeni yanatolewa kwenye TV nk. Sasa shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom