Sasa unafikiri kwa mtazamo wako Ukawa wanafaida gani hapa Tanzania zaidi sana ya kuleta vurugu tu kwenye mambo ya msingi hutawasikia ila kwenye mambo ya kipuuzi lazima washikie Bango...
kwahili sidhani kama ccm wanahusika sijamsikia nape madabida wala kinana wakilizungumzia hili, labda ni mvutano kati ya ukawa na wapiga dili wa mjini.
kwahiyo umeya ndio ukawa wameshapotezea? naona katabi yuko manyara mbowe mwanza, mnyika tundu lisu wako kimya, au hii biashara ni ya mdee na vijana wake akina waitara na kubenea.