UKAWA wailegeza CCM, leo wapo Kondoa

UKAWA wailegeza CCM, leo wapo Kondoa

Srombo

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
238
Reaction score
42
Vyama vya cuf, cdm na undp vinaendelea na mkutano hivi sasa ktk kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa huku wajumbe wa vyama vilivyounda ukawa vikifafanua kwa nyakati tofauti ufisadi uliokubuhu unaofanywa ba ccm na kuiacha kondoa ikiwa hoi kimaendeleot
toka ilipopata hadhi ya kuwa wilaya tangu mwaka 1952 enzi za ukoloni. NAWASILISHA
 
Nawapongeza , wang'oeni meno hao CCM wamezidi kwa udokozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom