UKAWA waanza kutafuta mchawi miongoni mwao.
Ni baada ya mambo yao mengi kutokwenda kama walivyotarajia, hali iliyosababisha kufeli kufika kwenye baadhi ya maeneo na inasemekana kuwa kuna badhi ya maeneo wameshindwa kuzindua kampeni kutokana na ukata wa fedha, hali iliyosababisha
sintofahamu nyingi miongoni mwa wanachama.