Ndugu wana Jamiiforums, Bunge la Katiba linaendelea UKAWA wametoka nje na hawataki kurudi ndani.
Lakini waliomo ndani nao hawana wasi wasi wowote ndo tunasikia wamekaribia kupiga kura za kupendekeza ibara.
UKAWA mbona wako kimya?
Au wamepanga nao nini? mbona UKAWA hawajatoa tamko lao ?
Nisiongee sana nyinyi mnasemaje?