Querido
Senior Member
- May 12, 2014
- 176
- 115
Ni ushauri wangu makamanda...kwa hali ilivombaya kwa serikali dhalimu ya ccm kuminya uhuru wa vyombo ifikapo 1 sept tutapata shida sn
Viongozi wakuu tunawaomba mana c wote wanaotamani kufika kwenye mafuriko wengne wako mahospitalini ila hawataki wapitwe na wengne ni walimu wapo shuleni wanatamani kupata live infos
NAAMINI WATZ WAZALENDO TUPO TAYARI KUVHANGIA KUANZISHWA NA KITAKUA TV NAMBA MOJA KWA KUANGALIWA