Ukianzia Lindi kwa Baruan hadi Biharamlo kwa Mbassa, ukitoka Kigoma kusini kwa Kafurila hadi Pemba kwa Mnyaa, Kasikazini kwa Mbowe mpaka Tabora kwa Lipumba. Wengi wamebeza lakini wanaobeza ni wale amabao hatukutegemea watupongeze. Sisi tunaendelea kukakata anga na nchi kavu kulikomboa taifa letu, hatutarudi nyuma maana kelele tunazosikia toka kwa adui ni kwa sababu kisu kinaingia kwenye mfupa!
Ni wapi utapata wataalam wa sheria kama Lissu, Jussa na Prof Safari? Ni wapi utapata utaalam wa kutukuka wa uchumi kama Prof Lipumba? Ni wapi utapata msomi mzalendo kama Dr Slaa, Ni wapi utapata vijana wazalendo wanaoipenda nchi yao kama Lema, Mtatiro, Mnyika, Kafurila, Machali na Mkosamali? Wapi utapata Simba wa siasa kama Maalimu Seif?
Najiuliza utapata wapi akina mama wapiganaji kama Mdee, Sakaya, Abwao, Faida Bakari, Kuruthum, Kamili na Gekul? Akina mama ambao wako tayari kuacha watoto na waume zao wakaenda kuandamana kwa ajili ya kupigania haki na usawa wa nchi hii. Na huko wanaishia kaambulia vipigo, kuswekwa ndani na kudhalilishwa, ama kweli kikosi hiki ni kama timu ya taifa. Na kuanzia sasa napendekeza kiitwe UKAWA aka TIMU YA TAIFA.
timu ya taifa ni ccm...kila mahali ukigusa kuna mchezaji
hapo kwenye red., wameacha wake zao wanaenda kukatishwa safari na kina mbowe na kwenda kuvinjari nao dubai...refer the joyce mukya saga
Ukianzia Lindi kwa Baruan hadi Biharamlo kwa Mbassa, ukitoka Kigoma kusini kwa Kafurila hadi Pemba kwa Mnyaa, Kasikazini kwa Mbowe mpaka Tabora kwa Lipumba. Wengi wamebeza lakini wanaobeza ni wale amabao hatukutegemea watupongeze. Sisi tunaendelea kukakata anga na nchi kavu kulikomboa taifa letu, hatutarudi nyuma maana kelele tunazosikia toka kwa adui ni kwa sababu kisu kinaingia kwenye mfupa!
Ni wapi utapata wataalam wa sheria kama Lissu, Jussa na Prof Safari? Ni wapi utapata utaalam wa kutukuka wa uchumi kama Prof Lipumba? Ni wapi utapata msomi mzalendo kama Dr Slaa, Ni wapi utapata vijana wazalendo wanaoipenda nchi yao kama Lema, Mtatiro, Mnyika, Kafurila, Machali na Mkosamali? Wapi utapata Simba wa siasa kama Maalimu Seif?
Najiuliza utapata wapi akina mama wapiganaji kama Mdee, Sakaya, Abwao, Faida Bakari, Kuruthum, Kamili na Gekul? Akina mama ambao wako tayari kuacha watoto na waume zao wakaenda kuandamana kwa ajili ya kupigania haki na usawa wa nchi hii. Na huko wanaishia kaambulia vipigo, kuswekwa ndani na kudhalilishwa, ama kweli kikosi hiki ni kama timu ya taifa. Na kuanzia sasa napendekeza kiitwe UKAWA aka TIMU YA TAIFA.
timu ya tanganyika na zanzibar sio tanzania kama ulivyozoezwaTimu ya Taifa ya Tanganyika? Ya Zanzibar? au Tanzania?
Nafikiri ni Timu ya Akiba! Huwezi kumwaga kikosi kizima hadharani.Rev Mtikila na Dr Emannuel Makaidi wamejitoa UKAWA?, mbona hawaonekani tena majukwaani na kuzunguka na wenzao mikoani?.
Ukianzia Lindi kwa Baruan hadi Biharamlo kwa Mbassa, ukitoka Kigoma kusini kwa Kafurila hadi Pemba kwa Mnyaa, Kasikazini kwa Mbowe mpaka Tabora kwa Lipumba. Wengi wamebeza lakini wanaobeza ni wale amabao hatukutegemea watupongeze. Sisi tunaendelea kukakata anga na nchi kavu kulikomboa taifa letu, hatutarudi nyuma maana kelele tunazosikia toka kwa adui ni kwa sababu kisu kinaingia kwenye mfupa!
Ni wapi utapata wataalam wa sheria kama Lissu, Jussa na Prof Safari? Ni wapi utapata utaalam wa kutukuka wa uchumi kama Prof Lipumba? Ni wapi utapata msomi mzalendo kama Dr Slaa, Ni wapi utapata vijana wazalendo wanaoipenda nchi yao kama Lema, Mtatiro, Mnyika, Kafurila, Machali na Mkosamali? Wapi utapata Simba wa siasa kama Maalimu Seif?
Najiuliza utapata wapi akina mama wapiganaji kama Mdee, Sakaya, Abwao, Faida Bakari, Kuruthum, Kamili na Gekul? Akina mama ambao wako tayari kuacha watoto na waume zao wakaenda kuandamana kwa ajili ya kupigania haki na usawa wa nchi hii. Na huko wanaishia kaambulia vipigo, kuswekwa ndani na kudhalilishwa, ama kweli kikosi hiki ni kama timu ya taifa. Na kuanzia sasa napendekeza kiitwe UKAWA aka TIMU YA TAIFA.
timu ya taifa ni ccm...kila mahali ukigusa kuna mchezaji
Mkuu utaumwa sana kwa huuu wako upekepeke.Nakubali kwa 100%
Hasa kwa kufuata ile LIST OF SHAME
Mkuu utaumwa sana kwa huuu wako upekepeke.