UKAWA ni sawa na jembe lenye mpini wa chuma

UKAWA ni sawa na jembe lenye mpini wa chuma

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
490
Binafsi napenda kuupongeza Umoja wa UKAWA kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa Mswada wa Skandali ya ESCROW haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa Imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.
 
kwanini alakiwe Mbowe?kwa lipi kubwa alilofanya?
 
Binafsi napenda kuupongeza Umoja wa UKAWA kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa Mswada wa Skandali ya ESCROW haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa Imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.

upo sahihi mkuu, maana bila mh. mbowe kusimama kwa nguvu zote kupinga mapendezo ya dhalimu ya kuwatetea wezi sidhani kama 2ngefika hapa tulipofikia. japo sikuridhika kutolewa kwa PM katka adhabu.
 
Binafsi napenda kuupongeza Umoja wa UKAWA kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa Mswada wa Skandali ya ESCROW haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa Imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.

Mh! yaani wewe ndo hamna kitu kabisa! Nadhani umewapaka mafuta kwa mgongo wa CHUPA.

"""""Jembe lenye mpini wa Chuma huwezi kumaliza kipande cha #robo_heka hata kwa mwezi mzima"""""" Ni mzigo usioweza kutwaliwa.

THINK_BIG
 
mie wamenishangaza hapa wilayani kwetu, wameshindwa kusimamisha mgombea mmoja. nimeshuhudia CUF, CHADEMA NA NCCR wakisimamisha wote wagombea. ukawa upo dar tu. mikoani hakuna UKAWA
 
Binafsi napenda kuupongeza Umoja wa UKAWA kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa Mswada wa Skandali ya ESCROW haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa Imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.
acha kupotosha. kuna wanaccm wengi tu wamefanya vizuri tena zaidi hata ya wengi wao hao ukawa. mfano filikonjombe, Ally kessy, Ole sendeka, wasira, Mwingulu, kigwangwala na wengineo wengi
ungesema hivi walio waumbua wezi wa escrow ni sawa na mpini wa chuma.
 
MWACHE MBOWE ni jembe.yaliyotokea jana yanatokana na alichofanya juzi.hufuatilii nini

nimefuatilia sana mkuu,kama ni mapokezi wanaostahili ni Kafulila,Zitto Kabwe na kamati nzima ya PAC wala sio Mbowe
 
binafsi napenda kuupongeza umoja wa ukawa kwa jinsi walivyosimama kidete katika kuhakikisha kuwa mswada wa skandali ya escrow haupigwi chini! Lakini kubwa zaidi ni jinsi walivyokuwa imara kama jembe lililo na mpini wa chuma.
Hakika mnasitahili pongezi zaidi.

kwa hili la escrow,baada ya kufuatiliarow majadiliano ya siku tatu kuhusu tegeta escrow
ningependa safu ya uongozi katika ker areas kama ifuatayo.

1.waziri mkuu awe zitto
2.ag awe tundu lisu
3.waziri wa sheria awe halima mdee
4......
5.......

Wengine endeleeni na orodha
 
Jamani tuache utani, Mbowe ANA impact kubwa ktk matokeo ya Jana, Mm namfananisha na mchezaji WA kimataifa Yaya Toure alivyo na impact ktk kikosi cha Man City, mbowe ndiye alisababisha Madam Speaker kuchanganyikiwa na kuahirisha kikao, kama Kweli mlifuatilia kwa karibu huo ndio ukweli, ndio maana JF is the home of Great THINKERS.
 
Back
Top Bottom