UKAWA, ni nani amewaloga?

Vizuri sana Kwa kuonyesha picha ila nikuambie kitu kimoja huyo anayegombea ukawa alikua Waziri Mkuu na Huyo kampeni meneja wake Sumaye amekaa miaka 10 hakuweza kulitatua hilo miaka yote hyo tena wakiwa watendaji wakubwa tu Leo hii wanaitaka nchi wakafanye nini Ikulu?
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Mbona unajishitaki maji yanaletwa na serikali si mbunge.kukosekana kwa maji monduli ni tatizo la serikali ya ccm na ccm yenyewe sio mbunge. Kwa hiyo badilisha kichwa cha habari yako na uandike nani kawaroga Watanzania
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Yani wewe ni #ZUMBUKUKU KABISA SIO SIRI,HIVII HAYO MAJI CHATO YAPO???...WEWE UNAPIGA PICHA MADIMBWI YA VISIMA KULE MORO KWA WAMASAI UNASEMA MONDULI...AYA EBU JIONEE MENYEWE WANANCHI-ORIGINAL WA CHATO HAPO PICHANI AKILALAMIKIA "TATIZO SUGU LA UKOSEFU WA MAJI KULE CHATO KWA MAGUFULI"...ALAFU NDO URUDI KUTUELEZA HABARI ZA MONDULI HAPA,Shenz! Wewe!
 
Ndio maana ya mabadiliko, hata wao wameshtuka, wametimka kwa sababu wamechoka na hawataki tena kuimba CCM ile ile oh ile ile. Wakiwa huko walitekeleza sera za serikali ya CCM na naomba uelewe kuwa kwa mfumo tuilionao na tunaoupiga vita Mwenyekiti wa CCM ndiye Raisi wa nchi hii. Kama wewe ni waziri au ni waziri mkuu unatekeleza yale kwa niaba ya bosi wako. Wamehama jumba hilo, wamehamia jengo jipya na kuondokana na kadhia ya jengo bovu la zamani.

Juzi juzi tu katika ile bomoa bomoa ya mkurupukaji Magufuli uliona alivyopigwa stop na serikali ya CCM akanywea na kukaa kimya, sasa hao mawaziri wakuu wangefanya nini kinyume na matakwa ya jemadari wao mkuu? Je kuondoka kwao kulipunguza ufisadi? Je kuondoka kwao kuliongeza ufanisi? Je kuondoka kwao kulimaliza rushwa? Je kuondoka kwao kulirudisha uwajibikaji na utawala wenye kuheshimu sheria? Si mambo yaliendelea ni kama vile hawakuwepo?

Ndio maana twasema wakati wa mabadiliko umewadia na hakuna mwenye uwezo wa kuyazuia.
 
Hizi picha asilimia kubwa n za monduli
Nmepajua
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Hapa tunaenda na Magufuri
 
Nauliza hv Ukawa aliyewaloga nani?

Hebu tazama jimbo la Monduli watu hawana maji Lowasa kashindwa kufanya mabadiliko Leo hii anawadanganya eti analeta mabadiliko nchi nzima atayawezea wapi kama sio usanii tu?

Twiga kupandishwa ndege, ufisadi, kukatikakatika Kwa umeme, umaskini wa watz kuongezeka, MTU unapoichagua ccm lazima watu wajiulize...ficcm nani kawalogaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…