Kwakweli kwa hili chaguo la CCM limewamaliza upinzani kabisaa, hamna mgombea hata mmoja mwenye mvuto kwa wananchi wote wamechoka na hata wenyewe wanatambua hilo kuwa watagombea kutimiza taratibu lakini si kwa ushindani, tatizo kubwa la vyama hivi vimefanywa Kuwa kama makampuni ya watu, hawaandai warithi na ukifikiria Utaka Urais wanakuchukia