UKAWA na kivuli chao

UKAWA na kivuli chao

sentino2015

Senior Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
176
Reaction score
30
Huu muungano wa hiari wa vyama ambao ulitokana na hamasa chanya ya makubaliano ya kutoka nje ya bunge la katiba kwa sasa,limekuwa kundi la bendera fuata upepo,maana tangu tuanze kusubiria hilo jina la mgombea wao ni kama twasubiri mvua kunyesha kiangazi,kwa.dalili hizo tu za subira isiyo na mwisho,nalazimika kuamin maneno ya zamani kwamba genge hilo halitadumu na halina mikakati yoyote,nashauri ukawa kuwaza sasa kuanza kumuunga mkono mjenga nchi magufuli maana huko mliko.na.magenge hayo sidhan kama uhai kundi hilo utaendelea,lengo si kuhamasisha ujenzi wa nchi?upele umepata mkunaji magufuli kusiwe na.kuoneana donge tuache Ngo ziendelee iwe.ukawa wa.kujenga taifa.
 
huu muungano wa hiari wa vyama ambao ulitokana na hamasa chanya ya makubaliano ya kutoka nje ya bunge la katiba kwa sasa,limekuwa kundi la bendera fuata upepo,maana tangu tuanze kusubiria hilo jina la mgombea wao ni kama twasubiri mvua kunyesha kiangazi,kwa.dalili hizo tu za subira isiyo na mwisho,nalazimika kuamin maneno ya zamani kwamba genge hilo halitadumu na halina mikakati yoyote,nashauri ukawa kuwaza sasa kuanza kumuunga mkono mjenga nchi magufuli maana huko mliko.na.magenge hayo sidhan kama uhai kundi hilo utaendelea,lengo si kuhamasisha ujenzi wa nchi?upele umepata mkunaji magufuli kusiwe na.kuoneana donge tuache ngo ziendelee iwe.ukawa wa.kujenga taifa.

hakuna cha ukawa hapo ni vumbi tupu,wanasubili makapo ya ccm ndo wajue cha kufanya maana wote ni paka na panya,,

Huu muungano wa hiari wa vyama ambao ulitokana na hamasa chanya ya makubaliano ya kutoka nje ya bunge la katiba kwa sasa,limekuwa kundi la bendera fuata upepo,maana tangu tuanze kusubiria hilo jina la mgombea wao ni kama twasubiri mvua kunyesha kiangazi,kwa.dalili hizo tu za subira isiyo na mwisho,nalazimika kuamin maneno ya zamani kwamba genge hilo halitadumu na halina mikakati yoyote,nashauri ukawa kuwaza sasa kuanza kumuunga mkono mjenga nchi magufuli maana huko mliko.na.magenge hayo sidhan kama uhai kundi hilo utaendelea,lengo si kuhamasisha ujenzi wa nchi?upele umepata mkunaji magufuli kusiwe na.kuoneana donge tuache Ngo ziendelee iwe.ukawa wa.kujenga taifa.

Mkuu ninakuelewa ingawa lugha uliyoitumia siyo ya big thinker? Hata hivyo inaidi uwe fair kwa hawa jamaa. Nani asiyejua kuwa issue hii ni ngumu kutokana na baadhi ya misimamo ya vyama husika? Hapa inabidi nithubutu kusema kuwa kati ya vyama husika kuna kitu kinaitwa (kaudini...ambako masikini wanaokashakia ni wale wasio......). Lakini tusisahau mazuri mengi yaliyofanywa na UKAWA mpaka sasa hasa kuhusu kutaka kuburuzwa na utawala uliopo kuhusu katiba. Pia kama wewe si mnafiki jiulize bila kuwepo na UPINZANI nchi yetu tunayoipenda sana wewe na mimi ingelikuwa wapi? Tuache unafiki na ushabiki hawa jamaa wanafanya kazi nzuri na hata kama wakitarafakani ktk jambo moja lkn tukumbuke umuhimu kataika kupunguza kasi ya kuiumiza nchi yetu kiuchumi.
 
Yote haya ni uroho wa madaraka.
Hakuna aliyetayar kumwachia mwenzake aongoze..

Kwa hali hii UKAWA mtakuwa wagen waalikwa ikulu
 
Wabuyaga umezungumza kitu kizuri sana,ingawa mimi sio ukawa Lakini huwa najiuliza hivi hawa wapinzani wasingekuwepo nchi yetu hii ingekuwaje hii leo?Ki ukweli wamefanya kazi kubwa sana ya kuiamsha serikali yetu.binafsi nitapigia upinzani kwenye ubunge ili wakaongeze nguvu ya kuisimamia serikali bungeni.
 
Back
Top Bottom