ukawa -ilitokana na muunganiko wa vyama ambao lengo kuu ilikua ni kuikataa katiba iliyopendekezwa na ccm na kuipigania ipite rasimu ya warioba, swali je leoo hiii katika mizunguko yooote za UKAWA umewah kumsikia lowassa akisema atapigania rasimu ya warioba? katika ukawa je umewah skia tena suala la katiba likiwa kipa umbele katik kulizungumzia na katika ilani ya ukawa na chademaaaaa??