UKAWA mtanyooka tu....!

Wale wanafunz waliopigwa mabom dodoma na moshi ilikua mikutano ya hadara?? Vp mkutano wa zitto kuchambua bajet ulikua ni hadhara??
Dodoma tunakuja kusaidia police utii bila shurut!!
 
WAMESHA NYOOKA MAANA HAWANA JIPYA KAMA RAIS HASIPO FANYA AU KUSEMA JAMBO NAO HAWANA LA KUWAMBIA WANANCHI... WANASUBIRI MH RAIS ATAKACHO SEMA LEO JIONI PALE KARIMJEE NA WAO WACHUKUE MANENO WAYAPENDAYO WAFANYE TOPIC?
Kama watu wanamsubili mtu aongee ili wapate cha kuongea ujue mwongeaji ana matatizo. Kila ukipita sehem unatimua vumbi si bora ukae tu nyumban vingnevyo ww kituko!!
Jifunze kuongea ili watu wasipate ya kukosoa katka maneno yako
 
chadema ile ya dr slaa imekwisha baada ya kuvamiwa na nyumbu wasaka malisho. Vijana wa 'for you movement' na wenzao wanawaza kinyumbunyumbu tu.
 
....huyu nimemfananisha na yule kitinda-mimba wa Iddi Amin dadaa....
Au ndo yeye nin
 
Hata ku reply thread za watu kama hawa ni kama kuwa Follow tu of which RC ametukataza.
Nitafuta Post yangu Soon kutii agizo la RC
 
Hawa si wale vijana Makonda aliokataza tusiwa follo twita
Mkuu hata huku JF tuna reply post zao ki bishi tu,but katazo la RC lina hold Mpaka ku reply posts zao kwenye Social Media zote including JF
Tena kama umewapa Like ndio unalo Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…