UKAWA mtanyooka tu....!

Mnaotaka kuwazuia Bavicha kuja Dodoma kupigwa mnakosea sana. Hii ni biashara kama ilivyo biashara nyingine. Tayari waratibu wapiga dili wameahidiwa Sh 200milioni kutekeleza uhuni huo. Hii ni njia ya kutumbua ruzuku na "ruzuku". Waacheni watumbue ruzuku yao badala ya kujenga ofisi. Akili ya kupewa na Mbowe changanya na yako. Mleta Uzi nimekuona hapa Dodoma Hotel, waache vijana waje Dom kujiuza kutafuta hela za kujikimu na majeraha!
 
Biashara Matangazo!!
Mtoa mada we u mjanja sana,ila waziri mkubwa ameshapiga marufuku.
Just joking...hah..hah..haaah
 
Utasoma magazeti ya kutupiwa na wenye ofisi hadi urudi kwenu mwandiga mikono mitupu
Tatizo lako unakalilishwa sana
Mie sio kitoto kama wewe
Uaipende kufananisha vitu kijana
 
Tulia akson tu mwenyewe kawatoa manundu kibao wakiwepo na uvccm si ndiyo mtalowa kila sehemu nyie.
Tulia mwenyewe anategemea policcm.mbunge mmoja tu wa UKAWA anahitaji Polisi 30 kumtoa nje.hukumbuki SUGU alivyowatoa jasho policcm zaidi ya 30 ndani ya bunge?
 
Bora yeye dereva anajituma kuliko ww unasubir pale ufipa wakupe kiroba then wakuamrishe uende kwenye maandamano ,kazi utaki kufanya
Mtabaki hivyohivyo njoo uone tunavyo fanya no msaada.kama nyie likiwepo bunge mnahamia dom,kuombaomba na bado.
 
By Peter Dafi
Mtetezi wa Wanyonge.
Mkuu, mtetezi wa wanyonge wepi?, maana hata hao unaowaona kama mfuu nako pia kuna wanyonge.

We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces.
 
Wazazi wako wana hasara! Kaza mwendo cheo kiko karibu
 
Duuh jamaa amechukua nafasi Jukwaa la wazelendo ha ha ha
 
Mavi.laza utawaona tu amekaa kishamba shamba.
 
Kijana kwanza pole kwa kudhan upinzan upo kwa hisan ya rais . upinzan upo kwa mujibu Wa katiba na sheria. Unamtumia prof KITILA MKUMBO ili uonekane kama uko sahihi sana ktk post yako kumbe hovyo ,JIULUZE kwa nini leo ACT WAZENDO inazidi kupotea na kupotelewa na viongozi wake wakiwemo katibu Mkuu mwigamba na m/kiti ANNA MGHWIRA aliyetangaza kuachana na siasa ili ahubiri injili !!!! Na kuhakikishia CHADEMA iko imara zaidi ya utawala Wa awamu ya tano ,ndio maana serikali inaiogopa CHADEMA kuliko ujambazi ambao unafanyika mchana kweupe . Usijipime na Chadema hii ni taasisi kubwa .
 
Makonda njoo huku,nimemkamata mmoja
 
Nadhani kama kunyooka nyie ndio mnanyooka haswaa, na mnaisoma namba vilivyo si UKAWA mlilelewa vibaya, UKAWA kazi yao ni moja tu nayo ni kuupinga UBWANYENYE wenu.
 
Daah, mkuu umemtaja jamaa moja (Mapuri) hivi yupo wapi kwasasa, maana katika makada waliopotea masikoni na machoni pangu fasta yu mmoja wao. Mara ya Mwisho nilisika anaenda kua balozi Japan or China kama sikosei, ila mpaka leo sijawahi hata kujua alipotelea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…