UKAWA mtanyooka tu....!

Umefikiria kwa kutumia hilo tumbo.

Halafu inakuwaje mwanaume una matege ya kike?
 
Ukawa kaondoka nayo lipumba na slaa wamebaki wasiojitambua wala kujua wanafanya nini.
 
Mahaba yasiyokuwa namaana kwa sasa hivi kilo yasukari sh ngapi
 
Braza kuna jambo ambalo haujalielewa labda kutokana na ukada au au vinginevyo lakini hao jamaa wa bavicha hawataenda Dodoma na inawezekana kuna mkono wa MTU aliyewatuma au walisema tu lakunu the time will tell
 
Duh!biashara matangazo,naona unaomba huruma za kupewa ukuu.
 
Mwandishi inaonekana unawaogopa sana vjana wa BAVICHA mana umejikanyagakanyaga mpaka JASHO limekutoka.


# ACHA KUMBWELA subiri siku ya huo mkutano ndo utaona.
 
Mtabaki kutumika tu,, enewei picha tumeiona na tumeshakujua
 
mkizidiwa msilete policcn.CCM bila msaada wa Polisi Ni wepesi kama tishu.
Jamaa unapenda kuwadanganya wenzako wewe, haya waambie Bavicha wafike Dodoma wapime huo uzito ili upate jibu. Ushauri:wewe pia ufike.
 
Nyie simempigwa marufuku na Makonda kwanza nimekosa kukoment uzi wako kwani tumekatazwa.
 
Jitahidi tu kuonyesha jinsi ulivyo mpuuzi hadharani, labda watakukumbuka wakupe hata ujumbe wa nyuma kumi kumi. Baadhi ya wapuuzi wa chama chenu cha wahuni, majangili, mafisadi, wezi, wapokea rushwa, wabaka demokrasi na wakwapuzi wa mali za umma wameshapata teuzi.





 
Mkuu BAK,
Kwanza amani iwe kwako nimependa sana mchango wako kwa kumweleza ukweli mleta mada alivyomjinga wa mambo katika uso wa dunia hii.
 
Pamoja na kuwa mkristu bado magu hajakuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…