N nkongo Member Joined Dec 9, 2011 Posts 84 Reaction score 14 Jul 11, 2015 #1 Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro .
Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro .
Z zamlock JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 3,840 Reaction score 661 Jul 11, 2015 #2 Dr anatosha saizi unaona kama Upepo uko ccm baba wewe ngoja kampeni zianze ndipo utafurahi kuwa UKAWA ni noma
Dr anatosha saizi unaona kama Upepo uko ccm baba wewe ngoja kampeni zianze ndipo utafurahi kuwa UKAWA ni noma
Nyenyere JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 14,842 Reaction score 10,765 Jul 11, 2015 #3 Kwani ni mashindano ya kugida mvinyo?
N nkongo Member Joined Dec 9, 2011 Posts 84 Reaction score 14 Jul 11, 2015 Thread starter #4 Msidharau maneno ya kambarage aliyosema kuwa upinzani wa kweli utatoka ccm.
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,974 Jul 11, 2015 #5 Si mlisema hamchukui makapi nyie??
Mount Kibo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,956 Reaction score 553 Jul 11, 2015 #6 nkongo said: Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro . Click to expand... Ndo uwezo wa ubongo wako kufikiri unajitekenya kisha unacheka mwenyewe kwa akili yako mto unaweza kukauka kwa kuchota ndoo ya maji?uyu jamaa cjui nani ..unayemtaja ni maarufu na anakubalika kuliko Zitto?
nkongo said: Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro . Click to expand... Ndo uwezo wa ubongo wako kufikiri unajitekenya kisha unacheka mwenyewe kwa akili yako mto unaweza kukauka kwa kuchota ndoo ya maji?uyu jamaa cjui nani ..unayemtaja ni maarufu na anakubalika kuliko Zitto?
M mgeni wenu JF-Expert Member Joined Jan 2, 2012 Posts 3,664 Reaction score 1,731 Jul 11, 2015 #7 Imekula kwake
Mr. Mangi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2014 Posts 1,512 Reaction score 772 Jul 11, 2015 #8 Naunga mkono hoja kwa 100%
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,336 Reaction score 13,411 Jul 11, 2015 #9 nkongo said: Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro . Click to expand... Sijui unaongea vitu gani na wewe
nkongo said: Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro . Click to expand... Sijui unaongea vitu gani na wewe
K kali ya leo Member Joined Jun 25, 2015 Posts 76 Reaction score 19 Jul 11, 2015 #10 nkongo said: Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro . Click to expand... Hao waraf wa madaraka wakina slaa mbowe na lipumba hawatakubali
nkongo said: Ili kuiondoa ccm madarakani mnapaswa kuimega ccm na ili muweze kufanya hilo mpeni nafasi ya urais makongoro . Click to expand... Hao waraf wa madaraka wakina slaa mbowe na lipumba hawatakubali
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,705 Reaction score 11,298 Jul 11, 2015 #11 Makongoro yule hana mpango na Urais alingia tu kutibua mipango ya Lowasa.UKAWA ina wanachama wanaofaa kuwa marais wengi tu
Makongoro yule hana mpango na Urais alingia tu kutibua mipango ya Lowasa.UKAWA ina wanachama wanaofaa kuwa marais wengi tu