UKAWA mnatuchanganya, acheni sifa

Naona UKAWA mnacheza ngoma ya Zitto, na atawapeleka mpera mpera mpaka mjute kwanini hamkumuomba msamaha yaishe! SACCOS ya Wachaga ndio inaelekea kufa!
 
Tunawakaribisha mtaani, ila mje na takrima ya kutosha - sisi tutajipanga tujae kwenye mikutano yenu, msisahau usafiri wa kwenda na kurudi mikutanoni, Posho za siku, ikiwezekana Pilau na Soda!! Msibadililke - Tunawasubiri kwa hamu.

Ngoja nimjibie kama hivi
 

Attachments

  • 1430150036189.jpg
    55 KB · Views: 221
  • 1430150064285.jpg
    83.3 KB · Views: 216
Hamlali, hamli mkashiba.....mtaweweseka sana mwaka huu.
 
teh teh habar za ziara za UKAWA si vutizi pale lumumba! ila Mzee Tupatupa nyie mtapeleka timu gani ziaran, team el, team mwigulu, team bm, team wahasira, team hk, team february, team samuye, au team gan?
 
Hawana adabu......watoto wamezaliwa juzi tu wanatutoa kamasi wazee wazima....hii haikubaliki hata kidogo
 
UKAWA haimtishi mtu/chama chochote. UKAWA tuko kazini. Kama mnauwezo basi fanyeni kazi, maneno ya nini?
 
Mzee Tupa Tupa na nyinyi mtagawana kama ukawa au itakuwa ni Kinana na Mwenezi tu?
 
Naona UKAWA mnacheza ngoma ya Zitto, na atawapeleka mpera mpera mpaka mjute kwanini hamkumuomba msamaha yaishe! SACCOS ya Wachaga ndio inaelekea kufa!
Mkuu mtoa mada anaandika kutoka Lumumba UKAWA wametoka wapi tena?
 

Tulieni dawa ya Pepo-Punda iwaingie. Mtakoma na huo mchepuko wenu wa ACT.

Loading October.......
 
FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
huu mwaka ccm lazima mkae chini,watanzania wengi tuwazoefu hivi sasa na mageuzi tofauti na enzi zile za kinamrema! Ukimwaga mboga tunamwaga ugali,na kama ni njaa basi tutalala wote njaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…