Siyo tu humu JF hata kwenye magazeti nimeliona hili jambo.Na kama halina ukweli basi wahusika wangekanusha haraka sana.Na mhusika mkuu hapa NI WM Pinda!
Tungekuwa na Wanasheria makini hili lingekuwa suala lenye uzito kulipeleka mahakamani,nashindwa kuwaelewa hawa LHRC kikitokea kitu ndiyo wakwanza kulalamika eti haki za binadamu lakini sasa hivi wako busy magazetini wanalalamika kama mimi kalaghabaho.
Nyie watu wa maGAMBA cjui mnatumia viungo gani kufikiri yaani nyie muda wote mnafikiria KULA tu,,,ndio maana mnachaguana kwa Sahani ya WALI MAHARAGE sasa watu km nyie mna umuhimu gani kwenye NCH hii
Kujibishana naww nisawa na kumkimbiza Mwendawazimu alieniibia NGUO zangu km mnaushahidi huo Mnashindwa nini kuwachukulia hatua zakisheria ikiwa mnaongoza Serikali,,,,!
Kujibishana naww nisawa na kumkimbiza Mwendawazimu alieniibia NGUO zangu km mnaushahidi huo Mnashindwa nini kuwachukulia hatua zakisheria ikiwa mnaongoza Serikali,,,,!