King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 329
Ukitaka usitake ccm ndio mshindiWapinzani wakikubali kushiriki uchaguzi huo wa serikali za mitaa December bila daftari kuboreshwa na tena uchaguzi ukisimamiwa na TAMISEMI ( ofiisi ya waziri mkuu wa CCM), basi wasubiri maumivu makali kama anavyojitapa Nape, they must go extra miles kukataa jambo hilo.
Wanatakiwa wakomalie sana mambo mawili ya kuwasaidia, moja uchaguzi usimamiwe na tume ya uchaguzi ( maana ndio wenye mamlaka na utaalam na chaguzi zote ndani ya nchi), hilo halitoshi hata tume wakisimamia kwa daftari la zamani ni hasara kubwa, so wakomae sana Daftari jipya litumike hata uchaguzi ukisogezwa mbele ni sawa, maana hapa ndio ccm itajipanga na kufanya mambo yao, la sivyo wasikubali kushiriki uchaguzi kwenye mazingira haya or wakubali wao ni wasindikizaji and CCM are leaders.
Naamini usiamini wapinzani wa TZ wasivyi na mbinu mbadala watakuambia tutakomaa nao hivyo hivyo, and that will be end of story na biashara kuishia hapo, upinzni imarara ninmuhimu sana kwa ustawi wa taifa lolote kwaajili ya check and balance
Liwe hili au jipya au lolote. Ukawa lazima mkae chini.
Tutawachapa mtashindwa hata kupiga kampeni 2015.
Hakuna kitu km hicho!
Andikisheni upya halafu muone itakavyokuwa.
Uchaguzi wa Serikali za mitaa hautimii daftari la wapigaab kura la NEC
Mzee Tupatupa wa Lumumba have fafanua, ni daftari gani litatumika serikali za mitaa kati ya Daftari la tume la wapiga kura au Daftari la mkazi ambao litatumika kila uchaguzi wa serikali za mitaa? Likitumika daftari la mpiga kura la tume la sasa, mimi kwa mtazamo wangu upinzani tutakuwa na nafasi finyu sana ya kushinda tutashinda maeneo yale yale tunayoshindaga maana watu wengi wanaotuunga mkno hawajaandikishwa na CCM haitaki waandikishwe.
Nitawashangaa sana hao UKAWA wakishiriki huo uchaguzi kwa daftari lililopo la wapigakura. Sijui watakuwa na matarajio gani!
Tatizo siyo daftrai tatizo ni huko "KUCHORA NEMBO"ya chama unachokipigia kura.Huku ni kumnyima haki mpiga kura na yule mgombea.Na kama UKAWA hawaendi mahakamani kwa hili nitawaona hawako makini.
Mkuu mabadiliko tunayoyatamani Hayaanzii UKAWA yanaanzia kwako namimi kwa tafsiri rahis UKAWA niww na mimi MBOWE na LIPUMBA wapo pale km maKAMANDA waongoza vikosi so Unapoona mambo hayaendi km unavyotamani basi unafanya km KUBENEA na BUNGE la KATIBA,,,,!
Habari ya kuchora nembo umeiibua wapi? Usiamini kila unachokisoma humu JF.Tatizo siyo daftrai tatizo ni huko "KUCHORA NEMBO"ya chama unachokipigia kura.Huku ni kumnyima haki mpiga kura na yule mgombea.Na kama UKAWA hawaendi mahakamani kwa hili nitawaona hawako makini.
Hujasikia watu wa kila lamina kuwa wajumbe wa CCM wa nyumba kami (mabalozi) wanaorodhesha w wakazi wa maeneoon yao? Kiujumla kazi hiyo inatakiwa ifanywe na serikali za mitaa kwa maeneo husika. Mipaka inatakiwa iainishwe na serikali Kuu. Haya yote hayajafanyika kwa uwazi na kushirikisha wadau.Unatumia lipi mkuu
Ufafanuzi
Habari ya kuchora nembo umeiibua wapi? Usiamini kila unachokisoma humu JF.
hapa lazima tupigane kufa na kupona..vinginevyo maccm..yatAtupiga chenga ya mwili
Nchi inakoelekea siko! ccm wamegundua mwisho wao umefika. Watafanya kila hila lakini watashindwa. Daftari la wapiga kura lazima liboreshwe kwanza, kama alivyosema Lubuva, kabla ya uchaguzi wowote. Huwezi kuwanyima haki ya kupiga kura mamilioni ya vijana waliofikisha umri wa kupiga kura.Source: Jana taarifa ya habari (kati ya star TV au Ch. 10) sikumbuki vizuri channel, ila ameonekana Mh. mbowe akilalamika hayo kwenye Kikao cha Kamati Kuu CDM.
Aliongeza kuwa hii ni mbinu ya kuharibu kura za CDM.
Take: Inawezekana itakuwa ukikosea kuchora nembo tu kura inaharibika hasa kwa wapinzani.
Wanatakiwa kwenda mahakamani kupinga utaratibu huo kama upo, na kuzuia uchaguzi wa mitaa mpaka mahakama iamue shauri lao. Daftari ni moja tu.Watu lazima waelewe inatumia register ya waazi wa mtaa na si daftari la NEC. Tatizo ni viongozi wa mtaa ndo waandiishaji je watawaandiisha wapinzani? Watu wengi watajiuta uchaguzi umepita tu. Wapinzani lazima waanze upita mitaani na magari ya matangazo kuwaeleza watu waande ujiandiisha
Kipenga kinakaribia kupulizwa. Tutaanza na Serikali za Mitaa mwaka huu. Sisi na nyinyi mapambanoni. Siasani. Sasa,mtoto hatumwi dukani.
Sisi tumejiandaa kimbinu muhimu. Tumejiandaa kuzoa Serikali za Mitaa kama taa ya kijani ya mwakani juu ya uchaguzi mkuu. Amini nawaambia,kwa daftari lililopo na mfumo wa uchaguzi tulionao,ushindi wenu utakuwa mgumu sana.
Sisi tutapeta. Mmeziona karatasi za kupigia kura za Vijiji na Vitongoji ? Hata kura zitakazoharibika zitatusaidia. Mtabaki kushangaa tu.
Mkae mguu sawa. Tukutane uchaguzini
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
serikali za mitaa hawatumii daftari la NEC
Wanavyopenda juice za Ikulu lazima wakubali tu...
Habari ya kuchora nembo umeiibua wapi? Usiamini kila unachokisoma humu JF.