UKAWA Mihemko CCM Burdan wa sharaba



Ushindi upo pale pale...wanaoenda mikutano ya EL ni wale wanaotaka kuona Mvi zake na wengine toka ajiuzulu hawajawahi kumuona hadharani!
 
kuna wajane wengine humu wanaweza kujitoa muhanga kwenye foleni za kupiga kura,kuweni makini nao
 
Naona yamekuingia vizuri sana na hauna hoja.
Kama vipi dada FaizaFoxy waambieni maboss wenu pale Lumumba waongeze dau manake si unaona mwenyewe inabidi mfanye kazi hadi usiku wa manane? Kama wewe ulivyopost humu usiku wa manane. Sasa buku 7 haitoshi kwa kweli ukizingatia watu mnahatarisha hadi ndoa zenu ilimradi tuu kuokoa jahazi ambalo kimsingi limeshazama.
 
Last edited by a moderator:

Watu wanakula burdan Jumamosi, wewe umekazania kazi na pressure juu.
 
Mheshimiwa Rais alianguka zaidi ya mara moja kipindi cha kampeni, ni uchu wa madaraka nao au yeye ulikuwa uchovu wa kibinadamu tu!:what::what:

Mheshimiwa Rais Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete kamaliza miaka 10 ya kazi adhim na bora kuliko Rais yeyote wa kabla yake, tena kwa takwimu kamili. Mwacheni sasa ale raha zake za kufanya kazi sana kwa nchi hii.

Kikwete ana asili ya uongozi si wa kuukamia. Soma CV yake.

Huyo mgonjwa tuliyemtema, daktari ataempitisha kushika wadhifa wa ujumbe wa nyumba kumi atakuwa ni mgonjwa zaidi ya Lowasa.

Jiulize atapita "drug test" huyo? Maana kawa teja la madawa makali.
 
Duh Leo ndio nagundua kumbe hii ID ni ya mtu so jelly minded with an IQ of a millipede!! Pathetic indeed!

Ni mgunduzi wa Kimataifa wewe, inabidi upeleke data zako duniani za ugunduzi wako wa IQ ya jongoo.

Nnauhakika ujinga hukusomeshwa bali ni jadi yako na watakuzawadia tuzo ya IQ ya jongoo kwa ugunduzi wako.
 
Reactions: MTK

Hujajibu swali dada, alipokuwa anaanguka kipindi cha kampeni ilikuwa ni sababu alikuwa na uchu wa madaraka kiasi cha kuendelea na kampeni hata alipokuwa hawezi au ni nini hasa kilisababisha?
 
Great: you earn yourself a point to a Centipede grade IQ!!



Ni mgunduzi wa Kimataifa wewe, inabidi upeleke data zako duniani za ugunduzi wako wa IQ ya jongoo.

Nnauhakika ujinga hukusomeshwa bali ni jadi yako na watakuzawadia tuzo ya IQ ya jongoo kwa ugunduzi wako.
 
Great: you earn yourself a point to a Centipede grade IQ!!

Naona ya jongoo yamekushinda umehamia ya tandu.

Ni mgunduzi wa Kimataifa wewe, inabidi upeleke data zako duniani za ugunduzi wako wa IQ ya tandu.

Nnauhakika ujinga hukusomeshwa bali ni jadi yako na watakuzawadia tuzo ya IQ ya tandu kwa ugunduzi wako.
 
Kwa mantiki hiyo unakubali kuwa binadamu ni wadhaifu na udhaifu huo huweza kusababishwa na vitu mbali mbali ikiwemo 'uwanga' na swaumu kali!

Na pia pressure ukumbuke ndiyo ilimlaza hospitali Mbowe.

Lowasa on other hand ni gonjwa la ugonjwa wa uteja. Haendi bila madawa na akishayapiga anakuwa kama robot hata povu likimtoka mdomoni halihisi.

Lowasa wa leo si Lowasa yule aliyebwagwa miaka 8 iliyopita kwa kashfa ya Richmond - kumbuka hilo.
 

Katika Thread Pumba hii nayo ni moja wapo... Yaani Lowassa kawapoteza CCM hadi wamemsahahu Mgombea wao anaitwa nani? ni sawa na wale wazee wa village wanafahamu kuwa Nyerere bado ni Raisi ndio na wewe Faiza kutwa unamuwazia Kikwete tu...

Hebu change wewe Sema japo mara moja tu Neno Magufuli maana lishakupotea Masikioni mwako... isije fika siku ya kupiga kura ukatafuta Kikwete na ukikosa unaacha kupiga...

Wacha Kulia lia... Hii thread umeianzisha special kwa Mipasho kama ya mkulu
 

Hivi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nani vile?
 

Ukumbuke tu uhai wa mtu na uzima wake asilimia kubwa haviko mikononi mwetu, kuna watu wanaumwa miaka na miaka na bado wanaishi. Kuna wengine wanaondoka na afya zao.
 

Nini maana ya chama cha siasa?
 
How does it feel to have a head that is empty without brains, all you can do with it is to trumpet shit all day and all night long. When you are not able to read the mood of the country and the people around you. Come October 25 we shall be free at last. I will play my part just like him and her, and everyone.
 


Mwanzo nilikuona ni mwanamke uliye na maarifa mazuri lakini kwa hili umebugi.. Sikutegemea kwa mtu km wew kufurahia kitendo cha viongozi kuangalia upuuzi ilhali uchumi unadorora na wao ndio waliosababisha hali hiyo. Pengine mwenzetu ulijisahau lakini km uko serious basi nina waswas na ufahamu wako.

Na hapo ndo nathibitisha kuwa mwanamke si mtu wa kumuamini. Au ulikuwa nae pamoja mukiangalia hiyo talents..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…