UKAWA: Mgorogoro mkubwa unapikwa juu Dr.Slaa

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Chanzo chetu kutoka kwa wapika majungu wakuu wa CHADEMA wanasema kuwa baada ya kumtumia Dr.slaa kuingia Ikulu watamnyang'anya Uanachama ili akose sifa za kuwa Rais kama walivyomfanyia Zitto Kabwe .

Hii inatoka tofauti kubwa iliyopo kati ya mwenyekiti wa CHADEMA na katibu Mkuu wake. mgogoro mkubwa uliozuka hivi Karibuni baada ya Dr. Kuomba Mh. mbowe amwachie uenyekiti wa chama baada ya kuwa Rais lakini mwenyekiti alipinga vikali hoja hiyo.

Source. Kingmakers wa CHADEMA
 
Mtakuja na drama nyingi sana mwaka huu lakini habari ndo hiyo, Hakuna kitu kama hicho na kamwe hakiwezi kutokea..!!!

Salama yako ni kutoa uchafu huu hapa.

BACK TANGANYIKA
 
Kwahio nshu kubwa uongozi yaani hakuna lingine linalo wagombanisha watu tofauti na uongozi! kwani uenyekiti mbowe yeye mungumtu? nahuyo slaa kuwa rais wanchi gani mbona watu wanaota mchana wakitembea! Tuache fikra finyu
 
Upuuzi kwenye jukwaa la great thinkers! Sijawahi fikiri kuwa hapa napo kuna waandika upuuzi kama wapuuzi wenyewe! Huu ni upuuzi sana wa viwango vya kimataifa vilivyopitiliza kwenye puuzi
 
HAKUNA KITU KIBAYA DUNIANI KAMA KUTENGENEZA FITNA AU FITNA-MAKER tuache uchonganishi usio na maana yoyote!
 
Huyu atoa mada nashaur apewe dawa za kutibu uchizi bola hata ya kupimwa. Anaumwa huyu
 
Acha wagombanie tu uongozi wa Chama maana kiongozi wa nchi ameshapatikana E. Lowasa!
 
Hamjajua tatizo la mleta mada, amekalili maisha, anafikiri Chadema ndio CCM, ya kwamba Rais lazima awe mwenyekiti wa Chama, Chadema endeleeni kuwaelimisha msiwatunane wala kuwalaumu CCM wamezolotesha sana uwezo wa kufikiri wa Watanzania kwa miaka yao 53 ya utawala wao,
 
Awe rais mtu yeyote toka chama chochote lakini Dr.Slaa akiwa rais wa nchi hii naapa kuhama nchi hii!!
 
Chanzo chetu kutoka kwa wapika majungu wakuu wa CHADEMA wanasema kuwa baada ya kumtumia Dr.slaa kuingia Ikulu watamnyang'anya Uanachama ili akose sifa za kuwa Rais kama walivyomfanyia Zitto Kabwe .

Hii inatoka tofauti kubwa iliyopo kati ya mwenyekiti wa CHADEMA na katibu Mkuu wake. mgogoro mkubwa uliozuka hivi Karibuni baada ya Dr. Kuomba Mh. mbowe amwachie uenyekiti wa chama baada ya kuwa Rais lakini mwenyekiti alipinga vikali hoja hiyo.

Source. Kingmakers wa CHADEMA
Posts kama hizi za kizushi huwa zinasaidia sana kuwaimarisha wanaozushiwa kwani zinasaidia kujua wakaanga sumu, wazushi na wafitini na mbinu zao hivyo kujipanga zaidi na kuwa kitu kimoja. Ni wajinga tu na wenye akili za kitoto ndio watayumbishwa na ujinga wa wajinga
 
Chanzo chetu kutoka kwa wapika majungu wakuu wa CHADEMA wanasema kuwa baada ya kumtumia Dr.slaa kuingia Ikulu watamnyang'anya Uanachama ili akose sifa za kuwa Rais kama walivyomfanyia Zitto Kabwe .

Hii inatoka tofauti kubwa iliyopo kati ya mwenyekiti wa CHADEMA na katibu Mkuu wake. mgogoro mkubwa uliozuka hivi Karibuni baada ya Dr. Kuomba Mh. mbowe amwachie uenyekiti wa chama baada ya kuwa Rais lakini mwenyekiti alipinga vikali hoja hiyo.

Source. Kingmakers wa CHADEMA
Mkuu ukishaingia Ikulu inakuwa vigumu sana kunyang'anywa kadi ama chama. Hivi wewe unaufahamu Urais wa nchi au unadhani ni urais wa Simba am Urais wa Chama cha Mieleka?
 
Hivi kwa Akili ya kubemendwa ya mleta post anadhani anaweza kuwachonganisha wenye Akili?
 
Chanzo chetu kutoka kwa wapika majungu wakuu wa CHADEMA wanasema kuwa baada ya kumtumia Dr.slaa kuingia Ikulu watamnyang'anya Uanachama ili akose sifa za kuwa Rais kama walivyomfanyia Zitto Kabwe .

Hii inatoka tofauti kubwa iliyopo kati ya mwenyekiti wa CHADEMA na katibu Mkuu wake. mgogoro mkubwa uliozuka hivi Karibuni baada ya Dr. Kuomba Mh. mbowe amwachie uenyekiti wa chama baada ya kuwa Rais lakini mwenyekiti alipinga vikali hoja hiyo.

Source. Kingmakers wa CHADEMA

Nyoko wee
 
Back
Top Bottom