UKAWA: Mbona hamtujuzi habari za kijana wenu M/kiti wa BAVICHA?

Gibiba

Senior Member
Jun 22, 2016
114
27
Ni takriban cku 4au5 hivi tangu mmeripotisha hapa jamvin,kwamba kakamatwa m/kiti wenu wa BAVICHA na amepelekwa kusikojulikana.

Hivyo tulitegemea kuendele kupata update kwa kila hatua lakin cha ajabu mmekaa kimya.

Hata kama amepatikana,vyema pia mkatujuza wana jamvi ili kuondoa maswali mengi yaliyokosa majawabu.

Au ni umaarufu tu mliokuwa mnamtafutia?kwamba na yeye aonekane mtu maarufu kwa kukamatwa na polisi?

Naomba majibu tafadhali!
 
Team Lumumba mmekosa chakufanya? Mmepauka sana maana hata buku2 hampewi tena...
 
Halafu mjeuri hata kujipanga tena asahihishe swali lake ili ajibiwe hataki tena.. Sidhani kama alitaka kujua kweli au alikuwa na ajenda nyingine....
 
Kwani hili jamvi ni la UKAWA?
 
Aaa mkuu acha masihala bana,naomba nijibiwe kama nilivyouliza.
Mkuu Mahabusu kusikie tuu.Ukinyimwa Msosi siku 3 mfululizo then siku ya Nne unaletewa msosi umewekwa kwenye Mtondo wa Kinyesio mkuu,Unaliwa kiboga mapema sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…