Ukawa/maandamano

sambeke

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
713
Reaction score
651
Yaani wanaukawa nawashauri sana kama ni Kiki mngetafutia hata hapa kwenye matetemeko kuliko kwenye kudai demokrasia. Mngetafutia UMOJA WA KUSAIDIA TETEMEKO BUKOBA. UKUBU, Hapa mngepata Kiki na wananchi wangewaelewa zaidi kuliko ukuta wenu.
 
Hivi hizo buku 7 lazima muandike utumbo humu ndio mpewe mnatia kinyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…