zikiwa zimebaki siku nne kabla ya watanzania kumpigia kura ya kumchagua john pombe magufuli kuwa rais wa tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
Vyama vinavyound umoja wa katiba ya wananchi almaarufu ukawa wameanza kutapa tapa na kumwona kila aliyepo mbele yao ni mbaya,mwizi wa kura na kibaraka wa chama cha mapinduzi.
Kwa kuonesha kuwa mwisho wao umekaribia mara baada ya vyombo mbali mbali vya habari duniani vikiwemo bbc ya uingereza,cnn na vyombo vya habari vya afrika kusinina watafiti wanao aminika kusema ushindi wa magufuli upo na ni wa kishindo.
Mh mbowe mara baada kusoma nyakati hizo siku mbili hizi ametoa mpya za mwaka mara baada ya kuwatuhumu waangalizi wa kimataifa kuwa ni wezi na vibaraka wa ccm na wapo ili kukisaidia chama cha mapinduzi kuendelea kushika dola. Mbowe ameenda mbali kwa kusema waangalizi hao hawaaminiki na wapo ili kutetea na kulinda ccm
kwa maana hiyo ni uhalisia usio fichika kuwa vyama vinavyounda ukawa vimeanza kukologana na kuhaha kumtafuta mchawi ili wakishindwa katika uchaguzi ujao wapate visingizio ila ukweli ni kuwa hawakujiandaa kushiriki uchaguzi huu kwa namna yeyete ile ndiyo maana kila hatua walikurupuka tuu ikiwemo ya kumpata mgombea wao wa kiti cha urais.