UKAWA kurudi bungeni

Ukawa wagonjwa wamesugua mechi limewachosha,wameenda club mpaka wamechoka sasa wenyewe vichwachini.

Huna hata aibu una mbunge ambaye yuko pale anajadili jina la kumpa mtoto wake ,,,,. Poor ccm.
 
Posho ndo zinawarudisha....wale wabunge mababy inasemekana hali zao mbayaa sana hadi imemtisha mbowe na kuamua kulegeza kamba.
 
Nice talk
 
"Chadema kila mtu ni kambale"--Babu Duni
 
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
 
naomba wakirudi tuiwatukane au kuwabeza!!just like mwanampotevu aliporudi kwa baba take alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza siasa kwa hiyo tuwapokee
 
Posho ndo zinawarudisha....wale wabunge mababy inasemekana hali zao mbayaa sana hadi imemtisha mbowe na kuamua kulegeza kamba.

MABABY si unajua wakikosa pesa wanaenda kwa wazee kuwaomba pesa.Wazee wamechoka kutoa pesa kila siku kuwapa mababy! wameona isiwe nongwa.Ni mkakati wa kujitoa kuendelea kugharimia SMALL HOUSES kwamba ingia upate posho zako mwenyewe mimi sasa sina hela.

Small house ikichachachamaa lazima mtu alegeze msimamo.Utanipa pesa hunipi? Si unajua sina kipato?Kama hunipi nakubwaga.Mtu mzima lazima alainike aseme ruksa nenda ukaendelee kupokea posho.
 
hoja ya mbunge silinde haina mashiko.hapo aeleze ukweli. mambo yote yanayojadiliwa bungeni yana maslahi kwa taifa....
 
naomba wakirudi tuiwatukane au kuwabeza!!just like mwanampotevu aliporudi kwa baba take alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza siasa kwa hiyo tuwapokee
Posho ndo zinawarudisha....wale wabunge mababy inasemekana hali zao mbayaa sana hadi imemtisha mbowe na kuamua kulegeza kamba.
Ngoja wakione cha moto kwa vijembe toka kwa kibajaji~
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...
UKAWA wasipojirekebisha basi 2020 hata wasijisumbue kugombea chochote nazani utakua mwaka wa ZITTO. na kwasasa mbunge mwenye ushawishi ukawa ni DAVID SILLINDE tu wengine wamekua kama ccm wao wanafuata akili za mwenyekiti wa chama...

naomba wakirudi tusiwatukane au kuwabeza!!just
like mwanampotevu aliporudi kwa baba yake
alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza
siasa kwa hiyo tuwapokee
 
Mimi nilidhani kila mjadala bungeni unahusu maslahi ya kitaifa kama ambavyo Katiba ya Tanzania 1977 imeainisha katika Ibara ya 63(1-3) kuhusu madaraka ya Bunge.
Sio kila mjadala una maslahi kwa taifa. Kujadili ujenzi wa sanamu ya msanii diamond au ujenzi wa mnara sehemu JPM alipopigia push-up yote haina maslahi ya taifa
 
naomba wakirudi tuiwatukane au kuwabeza!!just like mwanampotevu aliporudi kwa baba take alipokelewa kwa Furaha!!hawa wanajifunza siasa kwa hiyo tuwapokee

Mwana mpotevu gani huyo ambaye kila siku anapotea! LOOOOOH
 
haaaa haaaa wameona wenzao vitu maalumu toka ccm wanaendelea kuvuta posho tu huko mjengoni huku wakiufyata hata bila kuchangia.
 
Mbowe anapotosha wenzake kwa ubabe wake. Aibu gani hii. Tunarudije sasa? Kwa kasababu hako kadogo. Poor UKAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…