Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Hata mimi nimeamini ni kazi kweli kwa sababu hufahamu hata tofauti yakufafanua na kuelimisha.Ni kazi kweli kukuelimisha.Pita tu
Wanaboahawa watu me ht siwaelewag
NJAA ZIMEANZA KUWAUMA HAO HAWANA LOLOTE!
Kwa hiyo ninyi kazi yenu pekee ndani ya bunge ni kumuubua mtu na Lugumi?Tunakuja kumuubua mtu na Lugumi yake
haa haa kwa pale bungeni watetezi wa kweli wa wananchi toka mioyoni mwao hawazidi 5%. waliowengi ndo walewale wazee wa kugonga meza.Bora wangesema tu "maslahi mapana ya familia zetu" wangeeleweka tu.
Eti watetezi wa wanyonge,fumbaff kabisa
Kwa hiyo ninyi kazi yenu pekee ndani ya bunge ni kumuubua mtu na Lugumi?
God forbid!
Gazeti gani hilo?Magazeti ya leo yanabainisha kuwa Katibu wa Kambi ya Upinzani, David Silinde amesema UKAWA wako tayari kurudi bungeni hata kama Naibu Spika atakuwa yupo kwenye kiti cha Spika.
Silinde amesema kitakachowarudisha bungeni ni kwenda kujadili masuala yanayohusu maslahi ya taifa na siyo vinginevyo. Mojawapo ya masuala hayo amesema ni lile la sakata la Lugumi.