MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,051
UKAWA wanataka kutuambia kuwa yanayojadiliwa kwa sasa wakiwa nje ya bunge hayana maslahi ya kitaifa!
Kwa hiyo UKAWA wanataka tuamini kuwa mijadala kuhusu bajeti haina maslahi ya kitaifa!
UKAWA wanataka tuamini vipindi vya maswali na majibu bungeni havina maslahi ya taifa!
Kama hii ni kweli, kwa nini tuendelee kuwalipa wabunge pesa ambazo hazitumiki katika mijadala ya maslahi ya kitaifa?
Mimi nilidhani kila mjadala bungeni unahusu maslahi ya kitaifa kama ambavyo Katiba ya Tanzania 1977 imeainisha katika Ibara ya 63(1-3) kuhusu madaraka ya Bunge.
Huwez kuwaelewa!! Kama vp wasubir hapohapo utawaelewa tuhawa watu me ht siwaelewag
NJAA ZIMEANZA KUWAUMA HAO HAWANA LOLOTE!Magazeti ya leo yanabainisha kuwa Katibu wa Kambi ya Upinzani, David Silinde amesema UKAWA wako tayari kurudi bungeni hata kama Naibu Spika atakuwa yupo kwenye kiti cha Spika.
Silinde amesema kitakachowarudisha bungeni ni kwenda kujadili masuala yanayohusu maslahi ya taifa na siyo vinginevyo. Mojawapo ya masuala hayo amesema ni lile la sakata la Lugumi.
Una maana gani?Wamewaweza kweli baada ya kupigania Posho isikatwe kodi.Wataingi baada ya Tulia kupata akili
Utaelewa wapi husikii wala huoni ?! Poor Tz.hawa watu me ht siwaelewag
UKAWA wanataka kutuambia kuwa yanayojadiliwa kwa sasa wakiwa nje ya bunge hayana maslahi ya kitaifa!
Kwa hiyo UKAWA wanataka tuamini kuwa mijadala kuhusu bajeti haina maslahi ya kitaifa!
UKAWA wanataka tuamini vipindi vya maswali na majibu bungeni havina maslahi ya taifa!
Kigezo/vigezo gani vinatumika katika kufahamu kama ni mjadala wa kitaifa au la?
Mimi nilidhani kila mjadala bungeni unahusu maslahi ya kitaifa kama ambavyo Katiba ya Tanzania 1977 imeainisha katika Ibara ya 63(1-3) kuhusu madaraka ya Bunge.
Kwanza hata wakirudi hawapo kwenye orodha ya wachangiaji wataenda kulala tu bungeni.Kama wabunge wanajadili majina ya watoto wao hiyo ina maslai gan kwa wanannchi warudi wakaokoe jahaz
maskini ukawa imekuwa ukiwa. sasa viongozi wameanza kujirudii eeeh. baada ya kugundua Mbowe amefanya fyongo na kuingiza chaka wabunge wenzake. eti wanarudi kujadili maslahi ya Taifa. hivi bungeni huwa wanajadili maslahi binafsi? ??????. mjadala wa bajeti sio maslahi ya Taifa???? tena ndio muhimu kuliko yote.!! nimeamini maneno aliyoyasema Babu Duni haji kuwa chadema ni wabinafsi, wao hujadili masuala yanayowahusu wao na maslahi yao tuu. wametupoteza sana wananchi hawa jamaaUKAWA wanataka kutuambia kuwa yanayojadiliwa kwa sasa wakiwa nje ya bunge hayana maslahi ya kitaifa!
Kwa hiyo UKAWA wanataka tuamini kuwa mijadala kuhusu bajeti haina maslahi ya kitaifa!
UKAWA wanataka tuamini vipindi vya maswali na majibu bungeni havina maslahi ya taifa!
Kigezo/vigezo gani vinatumika katika kufahamu kama ni mjadala wa kitaifa au la?
Mimi nilidhani kila mjadala bungeni unahusu maslahi ya kitaifa kama ambavyo Katiba ya Tanzania 1977 imeainisha katika Ibara ya 63(1-3) kuhusu madaraka ya Bunge.
hahahahahahahaUtaelewa wapi husikii wala huoni ?! Poor Tz.
huu ni upumbaf na ulofa tuu. hakuna hoja hapa sema njaa tu imewakamata. wanatafuta gia ya kuingilia mjengoni. katika sakata hili kiukweli wamechemsha. wote wanaonekana wana akili za kitotoTunakuja kumuubua mtu na Lugumi yake
Una maana gani?
Fafanua!