kamanda wa kamanda Senior Member Joined Oct 12, 2013 Posts 191 Reaction score 75 May 22, 2014 #1 Leo ndio leo hapa Jijini MbeyaView attachment 159696
L ligera JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 2,646 Reaction score 1,172 May 22, 2014 #2 nendeni mkasikilize sauti ya mungu ikisikika toka nyikani,hakuna aliyeshindana na mungu aliyewahi kushinda wote waliambulia aibu
nendeni mkasikilize sauti ya mungu ikisikika toka nyikani,hakuna aliyeshindana na mungu aliyewahi kushinda wote waliambulia aibu
Simiyu Yetu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 18,949 Reaction score 4,645 May 22, 2014 #3 Unajua maana ya ukawa?
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,559 Reaction score 28,438 May 22, 2014 #4 Simiyu Yetu said: Unajua maana ya ukawa? Click to expand... siyo kosa lako mkuu,.
Edward Sambai JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 2,822 Reaction score 3,832 May 22, 2014 #5 kama mambo ndio hayo, kila mahali moto (Ukawa) kwanini Kinana na Nape wasinywe mataputapu? na wenye uwezo kama mkuu wa kaya kuishi Ugaibuni?
kama mambo ndio hayo, kila mahali moto (Ukawa) kwanini Kinana na Nape wasinywe mataputapu? na wenye uwezo kama mkuu wa kaya kuishi Ugaibuni?
K kusini mashariki Member Joined Dec 2, 2013 Posts 8 Reaction score 1 May 22, 2014 #6 Napenda xana vjana wanaojadl mantk name co propaganda xaxa wew ulietoa maana ya ukawa hapo juu inamantk gan au naw n gamba ulietumwa kuharibu ukawa bila hoja za mcng?
Napenda xana vjana wanaojadl mantk name co propaganda xaxa wew ulietoa maana ya ukawa hapo juu inamantk gan au naw n gamba ulietumwa kuharibu ukawa bila hoja za mcng?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 36,509 Reaction score 45,122 May 22, 2014 #7 UKAWA Kwa CCM ni kama Roba ya mbao - hakuna kufurukuta: mwendo mdundo makamanda - wataelewa tu.